Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ccm ni jangaKuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.