Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Ccm ni janga
 
Kwanza sio kweli kwamba kuna fedha kama hiyo..
Nilikuwa napitia monthly reviews za B.O.T
Ni vichekesho
 
Jadili mambo ya CCM tu. Haya mengine yamekuzidi kimo kwa mbali sana, utaaibika bure tu.

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Hii nchi ni michosho kweli sasa mahafali ya sec na kuwa pesa ya kutosha wapi na wapi wao wangewezesha tu shule hiyo ili iweze kupambana na changamoto
 
Mwenye wasiwasi anasemaje? Kwamba shughuli zimesimama?
Halafu huyo gavana na hayati hilo la kujimwambafai eti tunazo za kutosha miez 6 mbona ule mwez wa korona shughuli ziliposimama hawakulisha wananchi? Shei.nZi
 
Ulikufa na njaa?
 
Jadili mambo ya CCM tu. Haya mengine yamekuzidi kimo kwa mbali sana, utaaibika bure tu.
Unaacha hoja unanirukia mimi, hutoweza. Nafahamu hoja ni nzito kwako.

Akili za kawaida hujadili matukio. Akili kubwa hujadili fikra. Akili mbovu hujadili watu.

Upo wapi, umejiona?
 
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.

Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.

Source: ITV habari
Sasa anaongea na wanafunzi wa sekondari kweli tumuone ameongea serious kabisa?
 
Kwanza sio kweli kwamba kuna fedha kama hiyo..
Nilikuwa napitia monthly reviews za B.O.T
Ni vichekesho
Kama usemavyo ni sawa basi labda angesema tunaweza kuhimili mzunguko wa kibiashara za nje kwa miezi sita kwa takwimu za fedha za kigeni zilizopo kwenye mzunguko nchini.
 
Hatuwezi kufanya imports kwa miezi minne mfululizo achilia mbali kulipa deni la taifa kwa miezi minne kama policy inavyotaka

Back
Top Bottom