Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Na huyo jamaa Emmanuel Ajaro ni PhD holder.
 
Yani hadi Chawa wanajiuliza.
 
Reserve ya Dhahabu nyingi ya Tanzania imehifadhiwa Uingereza. Hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Gavana wa benki kuu - Tutuba

Kwanini mnataka kuuza hiyo dhahabu??🤔
TOKA MAKTABA:

Nov 27, 2025
Gavana Tutuba - Hifadhi ya Dhahabu tani 15.37 imehifadhiwa nje ya nchi, na yote ipo huko katika Bank of England Uingereza

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amesema kuwa hadi sasa Benki Kuu imenunua jumla ya tani 15.37 kupitia mpango wake wa ununuzi wa madini hayo, ikiwa ni hatua muhimu ya kuongeza akiba ya fedha za kigeni na kuimarisha thamani ya shilingi.. na kuwa dhahabu ya BoT imesafirishwa na kuhifadhiwa ktk benki kuu ya Uingereza yaani Bank of England


View: https://m.youtube.com/watch?v=ql7hRR5sA08Source : Bank of Tanzania

Nchi zinazozingatia sovereniti yake kama China, Russia, Algeria n.k haziwezi kupeleka Hifadhi ya Dhahabu nje ya nchi.

Tanzania tunaamini sana nchi za Mashariki ya Kati na Ulaya kuwa ni tawala zisizoweza kuigeuka Tanzania !

ALGERIA INA TANI 173.5 ZA HIFADHI YA DHAHABU BENKI KUU
Algeria’s central bank, the Bank of Algeria, holds and manages the country's gold reserves, which are reported as the largest in Africa at approximately 173.56 tonnes. While specific, precise, and current vault locations are typically classified for security reasons, these assets are managed within the national central bank's secure, official reserves system.
Key Details on Algeria's Gold:
  • Central Bank Holdings: The Bank of Algeria holds 173.56 tonnes of gold to hedge against economic uncertainty, representing a major component of its forex reserves.
 
$2b what a joke
Hiyo hata MO anazo
Sasa kama serikali inasema dhahabu ya $2b ni nyingi, Je wanazijua wenzetu wana kiasi gani cha akiba ya dhahabu? Africa?

Hivi maana ya akiba wanajua hawa?
Mpaka waamue kuuza Hutu tu dhahabu?
 
Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.😂
Kwani zikizidi zitaoza au nafasi ndogo?
Tanzania inaongozwa na watu wa ajabu sana. Our gold reserves per capita is less than 0.1 grams yet the mazafakas think it should be lower than that!

In comparison, Switzerland has a gold reserves per capita of approx. 116 grams and it has held it steady at that level for decades!
 
Top 30 Countries with the Most Gold Reserves in 2025


South Africa

South Africa – 125.44 tonnes​

South Africa, historically one of the world’s largest gold producers, maintains significant reserves that support currency stability and serve as a store of value for national wealth. The reserves are part of a diversified financial strategy aimed at ensuring long-term economic resilience.
 
??? !!!
Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.
Maelezo ya kutumwa yanahitaji akili yako pia. Ukiandikiwa na kusoma tu ni tatizo

Chombo huru kinahitaji idhini ya Bunge !!!
 
Mkuu Xi Jinping atakuja faster kupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…