Benki Kuu ya Tanzania kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi

Kama hakuna msukumo wa kisiasa ni jambo jema sana.. Kinyume chake tumekwisha....
Maana si ajabu tukaletewa zenye sura za wanasiasa
Sidhani hizo noti wanazotoa ni za muda sana na nyingi zimeshapotea kwenye mzunguko kabisa labda mia tano ya noti kwa mbali ndio unaweza ibahatisha.
Nadhani wanahitimisha rasmi sasa.
 


Mkabadilishe noti matoleo ya zamani! Kabla hawajazikataa kwenye mzunguko.
 
Pelekeni nyara za serikali
 

Attachments

  • 66c06e08e8e34.jpg
    432.2 KB · Views: 6
  • images (26).jpeg
    79.9 KB · Views: 9
  • images (25).jpeg
    10.3 KB · Views: 6
Au ndio zinakuja noti zenye picha ya mama ushungi na na magufuli?
 
Kwaiyo hizi bilioni 20 cash nilizo iba wakati wa Nyerere si wata nishika taweza badili zote kwel .
 

Attachments

  • 20230105_202107.jpg
    318.1 KB · Views: 9
Kuna sababu yoyote ile ya kuchapisha noti za shillingi za kitanzania wakati tukitarajia ujio wa sarafu mpya ya Afrika Mashariki SHIEFRA?
 
BOT nao wamezingua, ilibidi waweke na hizo picha za noti. Ona sasa inavyoleta ukakasi kwa wananchi.

Kila mtu ameanza kuweka tafsiri yake. Hapa tu ni kwa watu wenye uelewa. Tunaamini hivyo walau kila member amemaliza kidato cha 4.

Sasa kwa wakulima wetu, machinga na hawa bodaboda itakuwaje.
 
.......pesa hakuna mzunguko ziko chumbaji kwa Avdul na Gang lale Kiz Gang....wanatuhadaa na mazingaombwe ya BoT kuziita pesa.....sasa vipi zikuwa kwenye dola ? Baadae wazibadilishe tena madafu ? Mazingaombwe Kiz vs BoT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…