Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.

1727014270831.jpg
Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
 
Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.

Bado hatujabubujikwa na machozi ýa furaha.....kuona Rais mwanamke kwenye noti yenye thamani kubwa Tanzania...
..
 
Mjinga pekee ndiye anaweza kuipinga noti ya raisi Samia au yenye picha ya raisi Samia mjinga pekee ndiye anaweza kupinga.
Noti kama imefuata utaratibu wa kisheria hakuna tatizo kutoa ije mtaani tutaipokea kila mtu ataipokea ata aliopo upinzani.

Kosa ni mtu aliyevujisha, ila kama hakuambiwa na mfumo aivujishe basi ni kosa ila kama mfumo ulitaka ivuje na kupima upepo wa watu na kuwahamisha katika akili ya maandamano siyo tatizo
 

Attachments

  • 1727013375936.jpg
    1727013375936.jpg
    184 KB · Views: 19
  • IMG-20240922-WA0055.jpg
    IMG-20240922-WA0055.jpg
    86.1 KB · Views: 29
Kapoteza mabilioni kwenye mabango picha yake na lissu, hizo fedha zingeelekezwe kwenye huduma za afya ingekuwa ni kampeni tosha. siasa ni kuuza sera sio sura.
Kuchapisha noti mpya wakati zilizoko zinakidhi mzunguko ni kupunguza thamani ya shilingi.
 
Wamkamate na kumshtaki aliyezusha na aliyebuni, kwa kuzua taharuki.
Bila hivyo tutajua ni propaganda, wanapima upepo
 
Bado hajakidhi vigezo vya kukaa kwenye noti, Kaifanyia nini Tanzania, maana malalamiko ni mengi kuliko mafanikio.

Alafu kumbuka sio rais wa kuchaguliwa na wananchi.
Kimsingi hii noti ipo na ilikuwa imeandaliwa kutolewa na kama unakumbuka vuguvugu hilo lilishakuwepo.

Binafsi naamini imevujishwa makusudi ili kupima upepo itapokelewaje.
 
Mbona wanataka kujidhalilisha 10,000 yetu?

Huu mfumo wa kuwekwa picha za viongozi walio popular kwa leo na kesho ni wanakuwa ni unpopular ni wakiwango kidogo sana cha akili na maarifa.
 
Huko ni kunajisi fedha ya Tanzania. Lanatullah!
 
Back
Top Bottom