Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!Bado hajakidhi vigezo vya kukaa kwenye noti, Kaifanyia nini Tanzania, maana malalamiko ni mengi kuliko mafanikio.
Alafu kumbuka sio rais wa kuchaguliwa na wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!Bado hajakidhi vigezo vya kukaa kwenye noti, Kaifanyia nini Tanzania, maana malalamiko ni mengi kuliko mafanikio.
Alafu kumbuka sio rais wa kuchaguliwa na wananchi.
nitaichukia hiyo noti kabisa kabisa. niseme ukweli.Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.
Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
kubadilisha noti ya fedha ama vinginevyo, ni jambo la kawaida sana ikiwa nchi inakusudia kusisimua uchumi wake, ambao huenda imebainika kwa namna moja au nyingine,Bila ya Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah kububujikwa na machozi ilitosha kuonyesha taarifa ilikuwa batili.
Kanoti kazuri.Mjinga pekee ndiye anaweza kuipinga noti ya raisi Samia au yenye picha ya raisi Samia mjinga pekee ndiye anaweza kupinga.
Noti kama imefuata utaratibu wa kisheria hakuna tatizo kutoa ije mtaani tutaipokea kila mtu ataipokea ata aliopo upinzani.
Kosa ni mtu aliyevujisha, ila kama hakuambiwa na mfumo aivujishe basi ni kosa ila kama mfumo ulitaka ivuje na kupima upepo wa watu na kuwahamisha katika akili ya maandamano siyo tatizo