Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni
Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Raisi Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi
Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.
View attachment 3103404
Bado hatujabubujikwa na machozi Γ½a furaha.....kuona Rais mwanamke kwenye noti yenye thamani kubwa Tanzania...Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.
Lakini wanatakiwa waiunde noti yenye sura ya RaisBenki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.
Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
Kimsingi hii noti ipo na ilikuwa imeandaliwa kutolewa na kama unakumbuka vuguvugu hilo lilishakuwepo.Bado hajakidhi vigezo vya kukaa kwenye noti, Kaifanyia nini Tanzania, maana malalamiko ni mengi kuliko mafanikio.
Alafu kumbuka sio rais wa kuchaguliwa na wananchi.
Au waweke li BICHWA KOMWE - lako kwenye noti mkuu?ππππποΏ½
πππLakini wanatakiwa waiunde noti yenye sura ya Rais
Sio tu machoziBila ya Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah kububujikwa na machozi ilitosha kuonyesha taarifa ilikuwa batili.