Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

Bado hajakidhi vigezo vya kukaa kwenye noti, Kaifanyia nini Tanzania, maana malalamiko ni mengi kuliko mafanikio.

Alafu kumbuka sio rais wa kuchaguliwa na wananchi.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Bila ya Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah kububujikwa na machozi ilitosha kuonyesha taarifa ilikuwa batili.
kubadilisha noti ya fedha ama vinginevyo, ni jambo la kawaida sana ikiwa nchi inakusudia kusisimua uchumi wake, ambao huenda imebainika kwa namna moja au nyingine,
unawezakua unahujumiwa na wafanyabiashara, wakopeshaji, wawekezaji au wanasiasa wachache wenye malengo ovu ya kisiasa πŸ’

Na kwahivyo ,
kubadilisha noti, ni kumlazimisha muhujumu uchumi ambae kwa makusudi amehodhi kiasi kikubwa cha fedha cash nyumbani badala ya kuziweka kwenye mzunguko...

kWa kufanya hivyo,
atalazimika kuja kuzibadilisha la sivyo atapata hasara mwenyewe kwasabb kubadilisha noti huwa kuna deadline.

So,
Friends, ladies and gentlemen, hilo sio jambo la ajabu iwe kweli au si kweli but ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Walikua wanatest mitambo waone hili jambo litapokelewa vipi
 
Kanoti kazuri.

Tumechoka na mitembotembo kipindi sana tangia mkapa bhana!

Noti nzuri iwe na sura ya mtu na siyo wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…