Sasa ulitaka Rais akusaidie kusave hadi ada ya mwanao?hii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.
Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
Mkopo utakwenda shule moja kwa moja, naona unaleta mambo ya yai na kuku.Na bila mzazi au mlezi mkopo upo
Tena ajue tumechelewa mno kama taifa, nchi nyingi kwa Sasa Kila kitu ni kukopa na kulipa kidogodogo kuanzia simu,, nyumba na magari. Huyu jamaa hajui kituJitahidi kuficha upumbavu wako
Dhamana ya mkopo ni niniMkopo utakwenda shule moja kwa moja, naona unaleta mambo ya yai na kuku.
Hujielewi nchi zilizoendelea ikiwemo Marekani watu wanaishi kwa credit card kila kitu wanakopahii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.
Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
January itakua hivyo kwa wajinga wengi miaka nenda rudiSasa ulitaka Rais akusaidie kusave hadi ada ya mwanao?
........Punguza hasira mkuu January ndio ilivyo.
we mjinga kweli marekani wanakopa wanainvest sio kukopa ada na hela ya chakulaHujielewi nchi zilizoendelea ikiwemo Marekani watu wanaishi kwa credit card kila kitu wanakopa
Tatizo lako ulofa na huna exposure ya nje maskini mkubwa wewe
kwa akili yako ukipewa huo mkopo na ukilipa kidogokidogo kwa miaka miwili huku ukiweza kukopa tena ndio nafuu kwakoMiezi 6 mbona ni muda mchache sana. Kuna tofauti gani na program za kulipa kwa awamu zilizopo mashuleni moja kwa moja?
Shida ya huduma nyingi za mikopo ya Tanzania ni muda mfupi unaopewa kulipa.
Inakuwaje hapo mwanzo labda uwezo ulikuwa nao tuseme mtoto yupo darasa la sita, maisha yana changamoto nyingi..inatokea mzazi umepigwa nje ya mfumo? Si ni fursa nzuri hii mtoto aende shule halafu mzazi unajitafuta ulipe mkopo?Mimi kama mzazi naona kwamba....
Kama nimeshindwa kujipanga na kulipia ada ya watoto wangu kwa mwaka mzima, then basi nibora nikawapeleka shule za kayumba.
Uongowe mjinga kweli marekani wanakopa wanainvest sio kukopa ada na hela ya chakula
Hujui kitu wewe kampuni zote kubwa ku invest hukopa kwa kupitia bondswe mjinga kweli marekani wanakopa wanainvest sio kukopa ada na hela ya chakula
VYovyote vile ni sawa , lengo watoto waende shule.If you don't Pay for a Product.., You are a Product; apart from hio 13 percent hapo naona recruitment / incentive ya watu kutumia mfumo wao wa malipo na hivyo kuokota transaction fees za hapa na pale...; Which is not bad as the end justifies the means...
Umesoma sentensi yangu ya mwisho au unapigia mstari jibuVYovyote vile ni sawa , lengo watoto waende shule.
Nimepigia mstari mkuuUmesoma sentensi yangu ya mwisho au unapigia mstari jibu
Usinilishe maneno. Kama haujaelewa nilichoandika uliza ufafanuliwe.kwa akili yako ukipewa huo mkopo na ukilipa kidogokidogo kwa miaka miwili huku ukiweza kukopa tena ndio nafuu kwako
muda wa kulipa mkopo urefushwe si ndioUsinilishe maneno. Kama haujaelewa nilichoandika uliza ufafanuliwe.