Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

Si kweli, Tumbili, MWIGULU na mama Abdul wanakataa!
 
Hamuoni nini?
Hatuoni hiyo dollar 3 kwa siku. Wasiwe wanatujumuisha kwenye hesabu na takwimu wakati hatuoni hiyo pesa.
Ukiona binadamu anaishi maisha hayo halafu unasema anafuraha huyo ni mjinga anaesubiri kufa na sio kuenjoy dunia Hana tofauti na nyani maana nyani nao huwa wanafuraha sana
Ujinga wake uko wapi? Mahitaji yanatofauti.

Wewe unaweza kuwa unahitaji iphone, mimi nahitaji baiskeli.

Uhitaji wako unaweza kukusulubu nami nikakuona mjina lakini kila mmoja kivyake.

Unaweza kuniona mjinga ila ujue hatufanani na hatuishi ili kufanana au kushindana.
 
Kwa sisi wajasiriamali wadogo tuliopangisha nyumba za kuishi na za biashara ikifika tuu saa sita kamili usiku unakuwa tayari umeshatumia elfu 15. Haijalishi umeamka au bado upo usingizini.
 
Hatuoni hiyo dollar 3 kwa siku. Wasiwe wanatujumuisha kwenye hesabu na takwimu wakati hatuoni hiyo pesa.

Ujinga wake uko wapi? Mahitaji yanatofauti.

Wewe unaweza kuwa unahitaji iphone, mimi nahitaji baiskeli.

Uhitaji wako unaweza kukusulubu nami nikakuona mjina lakini kila mmoja kivyake.

Unaweza kuniona mjinga ila ujue hatufanani na hatuishi ili kufanana au kushindana.
Tumia akili binadamu mwenye akili timamu hawezi kuishi maisha hayo uliyoyasema ilihali analipa Kodi serikalini wajanja wanazitumbua bila kuleta maendeleo halafu unasema wanafuraha hao ni wajinga majitu meusi kama wewe yanafikiri kuteseka ni sifa na huo ndio ujinga wenyewe
 
Kwa hiyo mimi mwenye familia ya 5pipo nitumie $15 kwa siku...fumarate mimi.
 
Hizi ni hujuma za mabeberu kwa mama


Yoda, kumbe una uelewa mdogo hivi kwenye masuala haya ya sarafu?

Hapo siyo kwamba wamebadilisha chochote bali wamepiga hesabu kamili kwenda kwenye uhalisia.

Nikupe shule kidogo:

1. Sarafu zote Duniani zina-deprecite against gold, ambayo ndiyo pesa halisi. Nje ya gold, kuna paper money na debts.

2. Hard currencies zote, on average zina-depreciate kwa 20% kila baada ya miaka 7. Hard currencies ni US dollar, UK pound, Euro, Japan Yen. Kwa hiyo hakuna sarafu Duniani ambayo haipotezi thamani.

Maana yake ni kwamba, kwa mfano kiwango kilichotumika kumtambua maskini wa kutupwa miaka 21 iliyopita, kama kilikuwa ni dola 2, miaka 7 baadaye kinatakiwa kiongezeke kwa 2%, ina maana itakuwa dola 2.4, miaka 7 baadaye itakuwa dola 2.88, miaka 7 baadaye Itakuwa dola 3.5. Hii ina maana kwamba namna ya kumtambua maskini wa kutupwa baada ya miaka 21, katika thamani ya fedha, yaani uwezo wa sarafu kununua bidhaa, hakijabadilika, ila kiwango cha sarafu ndiyo kimebadilika. Maana hawezekana dola 2 miaka 21 iliyopita ilikuwa inanunua nusu kilo ya nyama, nusu ya mchele, nusu ya sukari, robo ya maharage na kibaba cha mafuta ya kupikia, kwa sasa dola 3, inanunua kiasi hicho hicho. Hii ina maana kuwa pamoja na kutumia dola 3 kwa sasa, lakini standard of living ya huyu mtu haijabadilika.

WB wapo sahihi sana.
 
SI KUNA WATU WANAPEWA 7K PER DAY KWA KUSEMA OCTABA SIJUI NINI.
 
Hatuoni hiyo dollar 3 kwa siku. Wasiwe wanatujumuisha kwenye hesabu na takwimu wakati hatuoni hiyo pesa.
Sio lazima uione,
Hata GDP per capita sio lazima uione, labda kama hesabu za wastani za msingi zilikupitia kushoto.
 
Tumia akili binadamu mwenye akili timamu hawezi kuishi maisha hayo uliyoyasema ilihali analipa Kodi serikalini wajanja wanazitumbua bila kuleta maendeleo halafu unasema wanafuraha hao ni wajinga majitu meusi kama wewe yanafikiri kuteseka ni sifa na huo ndio ujinga wenyewe
Hawalipi kodi labda makato kwenye mauzo ya pamba. Kodi wanailipaje au wanalipa nini, hawana biashara yoyote.

Naona uhamini lakini iko hivyo.
 
Hawalipi kodi labda makato kwenye mauzo ya pamba. Kodi wanailipaje au wanalipa nini, hawana biashara yoyote.

Naona uhamini lakini iko hivyo.
We kichwani haupo sawa hawalipi Kodi kwahiyo hao sio watu ni nyani kwanza hata nyani wanalipa Kodi watalii wakija kuwatizama
 
Ngoja usinitoe kwenye reli na kunipeleka ambapo nilikuwa sipo ngoja ni summarize nilichosema
  1. Hoja yangu ya kwanza ilikuwa huwezi kupanga kipimo cha kipato cha mtu kama umasikini au utajiri sababu sehemu tofauti kuna mahitaji na gharama tofauti; mjini inawezekana kila kitu kikahitaji pesa wakati kijijini vitu vingi ni nguvu zako na pesa ni secondary
  2. Kwa kutoa mfano nikatoa mfano wa mtu mmoja Dar ambaye anapata elfu 20 kwa siku lakini kuna usafiri, inabidi katika kubangaiza kwake anywe maji kutokana na kiu na hakuna mto wa kuchemsha maji luku 350 n.k. in comparison na kijijini unit moja tshs 100/=; mtu huyu lazima atumie usafiri kwenda kibaruani wakati mwenzake wa bush anatembea mtu huyu ukute ana madeni ya mwenye nyumba ambayo ni gharama sana ila anavyoishi ni kwa kumpiga chenga na huenda ana madeni ya mpaka mwezi kesho ili aweze kulipa madeni ya mwezi jana
Inawezekana kupima nackuwa na kipimo cha wastani wa kipato na umaskini wa jamii YOYOTE au kundi LOLOTE la watu hata kama kuna gharama tofauti za mahitaji ya watu. Mjini kunahitaji nguvu na pesa, kijijini pia kunahitaji nguvu na pesa au barter trade. Watu wengi wa mjini wanategemewa na wanatuma pesa vijijini kwa wazazi na ndugu zao.
 
We kichwani haupo sawa hawalipi Kodi kwahiyo hao watu ni nyani
Sasa kofi wanailipaje? Mimi nimetoka huko nakwambia sijaona kodi ya ardhi, nyumba , au kodi ya aina yoyote kijijini wanaishi maisha niliyoeleza hapo juu.
 
We kichwani haupo sawa hawalipi Kodi kwahiyo hao sio watu ni nyani kwanza hata nyani wanalipa Kodi watalii wakija kuwatizama
Hahaha kutokuwa mzima kuchwani mimi ni utashi wako. Ukweli uko hivyo.
 
Back
Top Bottom