Mbona mbwa sasa😂😂Kwa taarifa hii, basi bongo karibia 70% tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa kama mbwa
Ukiwaondoa majizi ya fisiemuBongo yote ni masikini wa kutupwa
Ndo uhalisia mama, vp wew unaishi kwa zaidi ya hiyo kwa siku!!?😊Mbona mbwa sasa😂😂
Mkuu unaishi wapi ? Chakula anakitoa wapi wakati ni mkulima ambaye anakula anachozalisha (na excess kidogo cha kuuza) ; unaongelea dawa hujawahi kusikia miti shamba ? na mapenzi kwamba huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!Huyo average Joe mmoja wa huko Bush yeye chakula anakitoa wapi? Au anaishi kwa kula matunda pori na wanyamapori wa serikali?? Haumwi na akiumwa hatibiwi hospitali? Hanywi pombe wala kufanya mapenzi? Wastani wa miaka ya kuishi ya average Joe ni miaka mingapi??
Mikoani mapapai,machungwa,viazi,maembe tunapeana tu, maana miti imezaa kwelikweli,ndani tuna mahindi, mpunga,tunakoboa tu,mchawi mboga,mafuta, chumviWazungu ndo wakitumia Chini ya $3.00 kweli ni masikini.
Babu na bibi yangu kule kijijini anakula sato wawili kila siku. Sato mmoja ana thamani ya zaidi ya $7 hapa Bongo, achana na uzunguni. Bado, hujaongeza maembe, machungwa na ndizi wanazojilia tu.
Labda tuna umasikini wa kioato, ila maisha ni mazuri sana.
Kwasiku haielewek km vyakula na vitu muhimu vipo matumiz ni madogo ila kunasiku 20k inaishaNdo uhalisia mama, vp wew unaishi kwa zaidi ya hiyo kwa siku!!?😊
You're too naive, twende taratibu.Mkuu unaishi wapi ? Chakula anakitoa wapi wakati ni mkulima ambaye anakula anachozalisha (na excess kidogo cha kuuza) ; unaongelea dawa hujawahi kusikia miti shamba ? na mapenzi kwamba huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!
As miaka ya kuishi ni zaidi ya huyu aliyepo mjini kwenye pollution na kula chakula kilichojaa sumu kuvu na maji yenye sewaga as well as samaki waliotoka kwenye bahari full of heavy metals....
It's all about sustainability na tulivyo kwa sasa vijijini are more sustainable kuliko mijini as wameweza kujibu swali la...
![]()
Why Africa produces what it does not consume and consume what it does not produce?
Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.” Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa. Sasa labda tujiulize WHY?! Na Je ni kweli? Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue? As what am seeing tunapoelekea hata...www.jamiiforums.com
Mambo yamekua mengi sana eeeehh!!!?? 😆kiukweli huu mwaka uishe tu nishauchoka
Una hoja nzuri kwenye upande wa Mazingira na chakula lakini umeweka chuki kwenye upande wa Afya na maadili.Mkuu unaishi wapi ? Chakula anakitoa wapi wakati ni mkulima ambaye anakula anachozalisha (na excess kidogo cha kuuza) ; unaongelea dawa hujawahi kusikia miti shamba ? na mapenzi kwamba huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!
As miaka ya kuishi ni zaidi ya huyu aliyepo mjini kwenye pollution na kula chakula kilichojaa sumu kuvu na maji yenye sewaga as well as samaki waliotoka kwenye bahari full of heavy metals....
It's all about sustainability na tulivyo kwa sasa vijijini are more sustainable kuliko mijini as wameweza kujibu swali la...
![]()
Why Africa produces what it does not consume and consume what it does not produce?
Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.” Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa. Sasa labda tujiulize WHY?! Na Je ni kweli? Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue? As what am seeing tunapoelekea hata...www.jamiiforums.com
Hesabu ukimaanisha nini ? Ni sawa sawa useme nipe bei ya Ice kwa Eskimos ; huyu mtu ni mkulima anakula anacholima na hata kwa sehemu ambazo kuna ukame kama Tabora watu walikuwa na jinsi ya kukausha mboga na kuzihifadhi kwahio the output ni nguvu kazi yao ambao wanatumia hio nguvu kujilisha wenyewe (hawanunui kwenye soko) na kumbuka huyo wa Dar ananunua kwa huyu ili mzigo uende kuuzwa Dar hivyo bei ya kijijini ni ndogo kuliko mjiniYou're too naive, twende taratibu.
Naomba hesabu ya mlo wa siku wa average Joe(zingatia awe anapata protein katika mlo wake),
Hivi unajua sehemu kama Kagera, Kilimanjaro na vijijini vingi hata ukitaka mtu akulindie nyumba bure unamkosa ? Ni kwamba watu wapo kwao (walipojenga) na kuishi kwa mtu kwao ni kama aibu hivyo suala la kupanga halipo na hakuna homeless (moja ya basic need) kama huko mijininaomba kujua kama amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, naomba kujua nyumba yake ni ya aina gani, naomba kujua hizo pesa anazopata average Joe akiuza mahindi anazipeleka wapi.
Hivi unajua hata local beer (wangapi wanatengeneza pombe zao wenyewe) au ulikuwa hujui karibia kila culture ina their local brew ambapo ni nguvu kazi zako na malighafi zilizopo kwenye area yako ndio zinatakiwa wala sio pesa ? Unashindwa kuelewa pesa is just a means of exchange na haina intrinsic value yoyote na elfu kumi huko Ndanidani inaweza kuwa ni pesa ndefu wakati mjini hata isitoshe kumuachia tip muhudumuPombe gani ya kienyeji kijijini ambapo mtu inaweza kumtosha kwa elfu kumi kwa miezi mitatu?
Kwahio wewe umeona Wahadzabe ndio kipimo cha kutumia mitishamba ? Au unafananisha wa hunters and gatherers na watu wanaoishi sustainably katika community ya kijiji ? Life expectancy haiendani na kuwepo na modern hospitals bali lifestyle ya watu (chakula bora, na maisha ya mazoezi sio ya kubweteka) ingekuwa ni modern Hospitals basi Nagano Japan isingekuwa na Highest Life expectacy in the world wakati ni sehemu ambapo wanatumia least katika Healthcare... (Their life is Healthy)Mwisho bado nahitaji kujua kwa namba halisi wastani wa maisha ya average Joe ambaye anakunywa maji ya mtoni na kujitibu kwa mitishamba tu(zingatia wastani wa kuishi wa Wahadzabe ni chini ya miaka 40, wastani wa kuishi katika jamii ya average Joe wako ni miaka mingapi??), Usipige porojo na kubwabwaja, twende kwa facts na namba.
Afya ? hivi unajua sasa hivi one of the most killers ni pamoja na junk food na over-processed food ? Wewe maisha yako ni kupiga bia na nyama unaamka umepanda gari unakaa kwenye foleni masaa kadhaa ukifika ofisini umekaa ukitoka ni bia unakaa kwenye kiti ukifika home ni remote (hakuna mazoezi na unafuga kitambi) wakati huyu maisha yake ni zoezi tosha akitumia usafiri wa miguu (sustainability) wewe third ya maisha yako unatumia kwenye traffic..., haya niambie hapo nani ana afya (Na hapo bado haujala matembele yaliyopuliziwa dawa mpaka basi)Una hoja nzuri kwenye upande wa Mazingira na chakula lakini umeweka chuki kwenye upande wa Afya na maadili.
Hoja zako za Afya na mazingira zina nguvu lakini unafanya Hasty Generalization yaani unahukumu wote kupitia mifano michache.Afya ? hivi unajua sasa hivi one of the most killers ni pamoja na junk food na over-processed food ? Wewe maisha yako ni kupiga bia na nyama unaamka umepanda gari unakaa kwenye foleni masaa kadhaa ukifika ofisini umekaa ukitoka ni bia unakaa kwenye kiti ukifika home ni remote (hakuna mazoezi na unafuga kitambi) wakati huyu maisha yake ni zoezi tosha akitumia usafiri wa miguu (sustainability) wewe third ya maisha yako unatumia kwenye traffic..., haya niambie hapo nani ana afya (Na hapo bado haujala matembele yaliyopuliziwa dawa mpaka basi)
Kuhusu maadili ni kupitia hoja yako uliyosema - "Huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!"Na kuhusu maadili unamaanisha nini ? Sababu maadili inategemea na mazingira na tamaduni ya sehemu husika (when in Rome do as Romans)
Huyo kijana hajui UKIMWI unaathiri watu wa vijijini zaidi kuliko wa mjini na utapiamlo uko vijijini zaidi kuliko mjini.Hoja zako za Afya na mazingira zina nguvu lakini unafanya Hasty Generalization yaani unahukumu wote kupitia mifano michache.
Kwamba watu wote wa vijijini wana Afya sababu wanakula chakula bora, wanafanya kazi za nguvu, wanatembea by foots kitambo kirefu na wanatumia mitishamba kama dawa.
Pia unadai watu wa mjini wanakufa kwa Pressure, kisukari na magonjwa ya moyo kwasababu wanafanya kazi za kukaa, wanapanda magari, wanakula junk foods na hawafanyi mazoezi.
Unachokosea kimantiki ni kwamba unaweka mazingira yote kwenye kapu moja (overgeneralization) bila kuzingatia tofauti binafsi.
Wapo watu wa mjini wanaoishi kwa afya, kula vyakula Lishe , kufanya mazoezi na kutumia mitishamba kama tiba.
Wapo watu wa mjini wanaofanya kazi ngumu za nguvu na wanatembea kwa miguu kufika kazini.
Vivyo hivyo, wapo wa vijijini wanaokula gabbages ukiwemo ugali wa sembe ya kuloweka na chipsi, wapo pia vijijini wagonjwa wa magonjwa ya tabia kama kisukari na shinikizo la damu.
Wapo pia vijijini tena wengi wanaotumia dawa za hospitali kama tiba kwani magonjwa mengine yanahitaji matibabu ya kitaalamu include HIV +Ve kwakua mitishamba haiwezi kutibu magonjwa hayo.
Afya ya mtu inategemea zaidi Maarifa uliyonayo, Nidhamu na upatikanaji wa huduma bora haijalishi unaishi mazingira gani - iwe mjini, iwe kijijini.
Kuhusu maadili ni kupitia hoja yako uliyosema - "Huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!"
Bado unafanya Logical fallacy ya Hasty Generalization.
Hilo si kweli kwasababu watu wa mjini si wote ni same sex au wanaimport malaya na hiyo migigolo, japo sikatai wanaofanya hivyo wapo kama ambavyo hata vijijini siku hizi kuna mabaa pia, kuna wanawake wanaojiuza na tabia kama hizo hizo.
Maadili hayapimwi kwa eneo, bali yanapimwa kwa mtu binafsi, Mijini kuna watu wanaoishi kwa heshima na familia zao na vijijini pia kuna wanaopoteza maadili.
Sasa kama vijijini kuna chakula safi, hewa safi na kazi za miguu lakini bado kuna wagonjwa wa presha, kuna wanaokula junk foods na pia kama vijijini wapo malaya wanaojiuza- je, ni kweli eneo ndilo huamua maisha na maadili ya mtu au ni akili na maamuzi yake binafsi?
Ngoja usinitoe kwenye reli na kunipeleka ambapo nilikuwa sipo ngoja ni summarize nilichosemaHoja zako za Afya na mazingira zina nguvu lakini unafanya Hasty Generalization yaani unahukumu wote kupitia mifano michache.
Kwamba watu wote wa vijijini wana Afya sababu wanakula chakula bora, wanafanya kazi za nguvu, wanatembea by foots kitambo kirefu na wanatumia mitishamba kama dawa.
Pia unadai watu wa mjini wanakufa kwa Pressure, kisukari na magonjwa ya moyo kwasababu wanafanya kazi za kukaa, wanapanda magari, wanakula junk foods na hawafanyi mazoezi.
Unachokosea kimantiki ni kwamba unaweka mazingira yote kwenye kapu moja (overgeneralization) bila kuzingatia tofauti binafsi.
Wapo watu wa mjini wanaoishi kwa afya, kula vyakula Lishe , kufanya mazoezi na kutumia mitishamba kama tiba.
Wapo watu wa mjini wanaofanya kazi ngumu za nguvu na wanatembea kwa miguu kufika kazini.
Vivyo hivyo, wapo wa vijijini wanaokula gabbages ukiwemo ugali wa sembe ya kuloweka na chipsi na wanaopiga madawa mboga wapo, pia vijijini wapo wagonjwa wa magonjwa ya tabia kama kisukari na shinikizo la damu.
Wapo pia vijijini tena wengi wanaotumia dawa za hospitali kama tiba kwani magonjwa mengine yanahitaji matibabu ya kitaalamu include HIV +Ve kwakua mitishamba haiwezi kutibu magonjwa hayo.
Kama umesema hii ni constant kwahio kijijini ana advantage pia mitishamba unachuma town na kipindi hiki cha Bima utafia mortuary na ndugu zako kushindwa hata kukukomboa...; Kumbuka hapa point yangu kuu ilikuwa huwezi kuweka one sweeping income as determinant ya umasikini bila kuangalia gharama, sio kuonyesha town vs village life wewe umeqoute jibu nililokuwa namjibu mtu kwamba kuna mtu bush asiye na kipato lakini anaweza kuishi na mjini huwezi sababu currency ndio mpango mzimaAfya ya mtu inategemea zaidi Maarifa uliyonayo, Nidhamu na upatikanaji wa huduma bora haijalishi unaishi mazingira gani - iwe mjini, iwe kijijini.
Again hilo lilukuwa jibu la swali la jamaa eti hao wanaishi vipi bila mapenzi ?!!!! ndio nikauliza kwani wote ni same sex au wana import gigolos hadi wahitaji pesa ?Kuhusu maadili ni kupitia hoja yako uliyosema - "Huko wote ni same sex na wanaimport malaya na ma gigolo ?!!!"
Bado unafanya Logical fallacy ya Hasty Generalization.
Nadhani ukirudia kusoma hapo juu utagundua mambo ya gigolo na sex yaliletwa na mdau kuuliza hawa wabush wanaishi vipi bila mapenzi kama hawana pesa (anashindwa kuelewa kuwa hata lugha nzuri na kupiga sound nayo ni currency)Hilo si kweli kwasababu watu wa mjini si wote ni same sex au wanaimport malaya na hiyo migigolo, japo sikatai wanaofanya hivyo wapo kama ambavyo hata vijijini siku hizi kuna mabaa pia, kuna wanawake wanaojiuza na tabia kama hizo hizo.
Maadili hayapimwi kwa eneo, bali yanapimwa kwa mtu binafsi, Mijini kuna watu wanaoishi kwa heshima na familia zao na vijijini pia kuna wanaopoteza maadili.
Maadili umepotea mkuu hio point nimemjibu jamaa baada ya kuweka mapenzi kama vile ni uhitaji wa currency wakati huenda ukishapeleka mbuzi wako kadhaa na kuku unapata partner for life....Sasa kama vijijini kuna chakula safi na kazi ngumu za nguvu lakini bado kuna wagonjwa wa presha na kuna wanaokula junk foods bila kusahau pia kuna malaya wanaojiuza- je, ni kweli eneo husika ndilo huamua maisha na maadili ya mtu au ni akili na maamuzi yake binafsi tu?
Kweli kabisa Kwa kiwango hicho, Tanzania NI maskini WA kutupwaBongo yote ni masikini wa kutupwa
Anhaa!! Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi wako.Ngoja usinitoe kwenye reli na kunipeleka ambapo nilikuwa sipo ngoja ni summarize nilichosema
Hio ni comparison niliyotoa kabla sijaulizwa kuhusu huyu mtu wa kijijini anakunywa bia gani na kama ana wapenzi au kuugua haugui (jibu ambalo dawa ni mitishamba na mapenzi ni free)
- Hoja yangu ya kwanza ilikuwa huwezi kupanga kipimo cha kipato cha mtu kama umasikini au utajiri sababu sehemu tofauti kuna mahitaji na gharama tofauti; mjini inawezekana kila kitu kikahitaji pesa wakati kijijini vitu vingi ni nguvu zako na pesa ni secondary
- Kwa kutoa mfano nikatoa mfano wa mtu mmoja Dar ambaye anapata elfu 20 kwa siku lakini kuna usafiri, inabidi katika kubangaiza kwake anywe maji kutokana na kiu na hakuna mto wa kuchemsha maji luku 350 n.k. in comparison na kijijini unit moja tshs 100/=; mtu huyu lazima atumie usafiri kwenda kibaruani wakati mwenzake wa bush anatembea mtu huyu ukute ana madeni ya mwenye nyumba ambayo ni gharama sana ila anavyoishi ni kwa kumpiga chenga na huenda ana madeni ya mpaka mwezi kesho ili aweze kulipa madeni ya mwezi jana
Kama umesema hii ni constant kwahio kijijini ana advantage pia mitishamba unachuma town na kipindi hiki cha Bima utafia mortuary na ndugu zako kushindwa hata kukukomboa...; Kumbuka hapa point yangu kuu ilikuwa huwezi kuweka one sweeping income as determinant ya umasikini bila kuangalia gharama, sio kuonyesha town vs village life wewe umeqoute jibu nililokuwa namjibu mtu kwamba kuna mtu bush asiye na kipato lakini anaweza kuishi na mjini huwezi sababu currency ndio mpango mzima
Again hilo lilukuwa jibu la swali la jamaa eti hao wanaishi vipi bila mapenzi ?!!!! ndio nikauliza kwani wote ni same sex au wana import gigolos hadi wahitaji pesa ?
Nadhani ukirudia kusoma hapo juu utagundua mambo ya gigolo na sex yaliletwa na mdau kuuliza hawa wabush wanaishi vipi bila mapenzi kama hawana pesa (anashindwa kuelewa kuwa hata lugha nzuri na kupiga sound nayo ni currency)
Maadili umepotea mkuu hio point nimemjibu jamaa baada ya kuweka mapenzi kama vile ni uhitaji wa currency wakati huenda ukishapeleka mbuzi wako kadhaa na kuku unapata partner for life....
Kumbuka mjadala wangu tangia mwanzo ni kwamba huwezi kuweka kipato fulani bila kuangalia matumizi...