MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Kwani nimekuomba unisaidie ufafanuzi? Acha kudandia treni kwa mbele!Amejibu ili ujuwe kuwa una mipasho na uache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nimekuomba unisaidie ufafanuzi? Acha kudandia treni kwa mbele!Amejibu ili ujuwe kuwa una mipasho na uache
Wanasheria husema a delayed justice is a denied justice.Imegoma ai imechelewesha (delays) upigaji kura?
Ndiyo maana Mkapa huwa anawapakia nyie makanjanja.
Mkisema ukweli itakuwa nini?
Sababu za kuchelewesha ni nini? Jee ni kuchunguza madai ya kuwa bagua watoto yana ukweli?Imegoma ai imechelewesha (delays) upigaji kura?
Ndiyo maana Mkapa huwa anawapakia nyie makanjanja.
Mkisema ukweli itakuwa nini?
sasa jamaa yangu ulitakaje, CCM iondoke waje NCCR au CUF?mambo makubwa gani mzee unajuwa kama CCM washakaa madarakani huu ni mwaka wa 60 ni lipi la maana walilofanya Zaidi ya kuzalisha wajinga hivi mtoto anamaliza darasa la saba atafanya nini huyu mitaani kama hakuwa jambazi?
Tupe sababu kwanini wb wameamua kuchelewesha?Kwanza kichwa cha mada yako kinapotosha kwa sababu Benki ya Dunia hawajagoma bali wameamua kuchelewesha zoezi la kupiga kura!
Pili, Kama serikali inahitaji sana huu mkopo basi ikubali watoto wakipata mimba na kuzaa warudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi ambao hawajapata mimba na kuzaa kama ambavyo wanaharakati na baadhi ya wanasiasa kama Zitto wanavyotaka!
Yaani, msichana akijisikia kupata mimba anapata na kuzaa halafu baadaye anarudi tena kwenye darasa lake na kuendelea na masomo pamoja na wanafunzi wengine!
Unachoandika wala hakieleweki kwa sababu unapinga hoja zangu lakini maelezo yako unakubali hoja zangu.Usizungumze kama mtoto, mazingira ya upataji mimba mbona yamezungumzwa sana katika forums mbalimbali? Nani atawatetea hawa watoto kama kila mtu anataka kumtetea Magufuli na tamko lake?
Kabla ya tamko lake mbona CCM ilikuwa na Sera nzuri tuu za kumlinda Huyo mtoto? Au Magufuli ni mkubwa kuliko ccm?
Watoto hawa wengi wao wanabakwa, hawana elimu ya uzazi dhidi ya maumbile yao, umasikini unawaponza na yote hayo ni wajibu wetu wazazi kuwalinda nayo badala kuwaachia ili yatokee na kuwaadhibu maisha yao yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Si nyie mnapiga kelele kuhusu deni la taifa! Huu nao ni mkopo wala si grantUnajua hii misimamo ya kisukuma sometime ni ya hovyo sana
Itatucost sana aisee
Ona sasa lidona county limenyimwa mapesa ambayo yangekuja kuleta mzunguko huku uraian
Hovyo kabisa magufuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;
angeenda kulipia ndege hamna kupewa pesaHapo sioni kama ni sawa, hizo pesa zingefanya mambo makubwa kwa nchi yetu, zitto na wenzako mlaaniwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Imegoma ai imechelewesha (delays) upigaji kura?
Ndiyo maana Mkapa huwa anawapakia nyie makanjanja.
Mkisema ukweli itakuwa nini?
"Mind set" ya mwafrika mweusi, nakusudia Waafrika tunaoishi chini ya Jangwa la Sahara ni ya ovyo kabisa..Kwanza kichwa cha mada yako kinapotosha kwa sababu Benki ya Dunia hawajagoma bali wameamua kuchelewesha zoezi la kupiga kura!
Pili, Kama serikali inahitaji sana huu mkopo basi ikubali watoto wakipata mimba na kuzaa warudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi ambao hawajapata mimba na kuzaa kama ambavyo wanaharakati na baadhi ya wanasiasa kama Zitto wanavyotaka!
Yaani, msichana akijisikia kupata mimba anapata na kuzaa halafu baadaye anarudi tena kwenye darasa lake na kuendelea na masomo pamoja na wanafunzi wengine!
Umepotosha hapo mwshoni case za ujauzito zina sababu nyingi sio wasichana WOTE wanabeba ujauzto kwa kutaka .Kwanza kichwa cha mada yako kinapotosha kwa sababu Benki ya Dunia hawajagoma bali wameamua kuchelewesha zoezi la kupiga kura!
Pili, Kama serikali inahitaji sana huu mkopo basi ikubali watoto wakipata mimba na kuzaa warudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi ambao hawajapata mimba na kuzaa kama ambavyo wanaharakati na baadhi ya wanasiasa kama Zitto wanavyotaka!
Yaani, msichana akijisikia kupata mimba anapata na kuzaa halafu baadaye anarudi tena kwenye darasa lake na kuendelea na masomo pamoja na wanafunzi wengine!
Una uhakika gani zingetumika kwa malengo kusudiwa?Hapo sioni kama ni sawa, hizo pesa zingefanya mambo makubwa kwa nchi yetu, zitto na wenzako mlaaniwe
Sent using Jamii Forums mobile app