Kama mwendakuzimu alivyokopa kwa ajili ya traffic lights za Chattle? Na ile eapoti nasikia hivi sasa imekuwa uwanja wa ng'ombe kuota jua ili wapate vitamin DWamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Una uhakika unacho kinena?Itakuwa yamevunja rekodi ya kushuka na siyo kupanda
Hawafichiki😂Hahahaha wanafiki
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Zikitumika hata kuajiri vijana wetu sio mbaya kuliko yule aliye kopa na kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwao ambao kwa sasa hauna kazi yoyote.Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Halafu sijajua nani hasa hufanya maamuzi ya kuchukua hii mikopo na baadae kuhakiki namna inavyotumika. Bunge linaendelea lakini wala sijasikia hii issue iliwasilishwa mjengoni...Nilifikiri tunaelekea kuwa country donors,kumbe bado tunakopa
Sitasahau ile 70+Billion iliyotolewa na umoja wa ulaya kwa ajili ya kupambana na corona, meko na majambazi wenzake wakaila kimya kimya hawakujua kuna siku bunge la umoja wa ulaya wataiulizia hela yao, walifikiri bunge la ulaya ni kama lile genge la ngedere linaloongozwa na pimbi jobo ndughai pale dodomya.Hii hela ingetolewa wakati wa jiwe angekula yote na majambazi wenzake akina Sabaya, Mnyeti, Kakoko na Bashite
Duuh, tumerudi kule kwenye kutembeza bakuli .
Basi tumekopa kumsaidia Dada yakoWamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Barbara za vijijini wanakwangua na kumwagia udongo wa vumbi tena baada ya mvua kwisha !Mkopo huo ulitakiwa uelekezwe SGR, bwawa la nyerere. Mnasema Barbara za vijijini ili mziweke lami au mnataka kuziweka changarawe? Mkopo huu ni mzigo kwa taiga kwa sababu umeelekezwa kwenye miradi ya ajabu
Wamesema yamevuka rekodiWakuu ! Naomba tangazo la TRA kuhusu makusanyo yao ya kila mwezi kuanzi Aprili na Mei mwaka huu ili kufahamu yamevunja rekodi au la !
Wakatafuna na michango ya rambirambi ya tetemeko la Kagera, na kuna ile hela ya elimu Zitto alienda kuwasagia kunguni WB (Walipiga mayowe balaa, hadi wakataka kumuua)Sitasahau ile 70+Billion iliyotolewa na umoja wa ulaya kwa ajili ya kupambana na corona, meko na majambazi wenzake wakaila kimya kimya hawakujua kuna siku bunge la umoja wa ulaya wataiulizia hela yao, walifikiri bunge la ulaya ni kama lile genge la ngedere linaloongozwa na pimbi jobo ndughai pale dodomya.
Mpaka kesho naiota ile trillion 1.5 yetu iliyoporwa pale hazina na mpaka sasa haijulikani ilipo, hili taifa ccm wanatakiwa wauawe wote