Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Hii hela ingetolewa wakati wa jiwe angekula yote na majambazi wenzake akina Sabaya, Mnyeti, Kakoko na Bashite
Angepeleka Chato kuweka flyover. Kama ameweka taa ili punda zivuke angeshindwa kuweka flyover
IMG_20210526_033429.jpg
 
Inapendeza uje ujinga wa kuita kila pesa inayotoka nje beberu imesisha. Tulikuwa tunafanya vitu ambavyo ni kama kujitukana wenyewe
 
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Jambo la kushangaza kuna watu wanapiga mbinja na kushangilia nchi kujijazia madeni kwa vitu visivyo na tija.
 
Jambo la kushangaza kuna watu wanapiga mbinja na kushangilia nchi kujijazia madeni kwa vitu visivyo na tija.
Mbona shetani Ngosha alikuwa anakopa hela na kuishia kuweka kwenye account zake binafsi.

Dikteta alikuwa jambazi wa Mali za umma
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Kumbe na wewe umeona eh?

World Bank hawatoi mikopo ambayo inawajengea uwezo wa kujitegemea, wanatoa pesa kwa miradi hewahewa ili muwe watumwa wa deni

Hii mikopo ingekuwa ya reli, umeme, maji ingekuwa ya maana ,maana hivyo vitu vinadumu na vinachangia kwenye uchumi

Samia awe makini siyo anakopakopa tu, deni la Taifa limeshakuwa kubwa sana hatuhitaji kukopa kwa vitu visivyokuwa na tija ya direct kwenye uchumi!
 
Nyinyi mabinti mbona Bado mnamsifia Mfu
Kwanza "task force" maana yake nini?

Hilo jina tu ulilojipa linaashiria una wazimu na matatizo mengine ya kisaikolojia.

Ndio maana sishangai unapowabwatukia wafu.

I was simply being curious after having seen an imbecile on internet calling herself "task force".

Ulifikiri ukijiita "task force" utakuwa unaogopesha watu ama?

Una matatizo ya kujiamini?
 
wewe ni inferiority complex
 
Kukopa ni normal issue ila unaielekeza ktk kipaumbele kipi hyo ela na usimamizi mzuri wa matumizi, Ila huwezi kuepuka kukopa kwa nchi Kama Tanzania.
 
Back
Top Bottom