Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Donor Country kwa kudanganywa na jiwe ? Miaka 100 ijayo labda tugundue mafuta yetu ndio itakuwa afadhali.....makusanyo yatosha budget mwezi tu ....60% bajeti tunasaidia miaka yote hii jidanfanye hivyo hivyo....achana propaganda za jiwe muongoNilifikiri tunaelekea kuwa country donors,kumbe bado tunakopa