Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,685
Reaction score
12,000
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

 
Tulikesha misikitini na makanisani kumuomba mwenyezi mungu atupe wa kutupeleka Kanaan, hakika AMEJIBU....

Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki, kumpa hekima, afya, maisha marefu, amlinde na kila jicho la husda na kila madhila aaaamin aaaamin

Na Mungu ampe uhai mrefu mh. Ally Kessy mbunge wa Nkasi aaamin,ili ufike ule muda wake ATAKAPOWASHAWISHI WABUNGE wamuongezee miaka 5 ya uongozi mh. Magufuli ili atuwezeshe TUIJENGE KANANI YETU na kuisimika vyema ARDHINI aaaamin aaaamin.
 
Duh! Hata Lesotho wamo mkuu?, Halafu mh Kabudi si alituambia inaitwa United Republic of Tanzania mkuu?

Nitaendelea kusema siku zote Rais Magufuli anaweka historia ambayo itachukua vizazi vingi hadi kuja kufikiwa na viongozi wajao wa taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…