Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Ni kweli Mkuu jumbe, tunafurahi Mashekh na Maaskofu wamesimama kidete kuombea Tanzania amani pia kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kututumikia vyema
Wale vijakazi wa mabeberu wameshikwa na aibu
Tulikwesha misikitini na makanisani kumuomba mwenyezi mungu atupe wa kutupeleka Kanaan,hakika AMEJIBU....

Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki,kumpa hekima,afya,maisha marefu,amlinde na kila jicho la husda na kila madhila aaaamin aaaamin

Na Mungu ampe uhai mrefu mh.Ally Kessy mbunge wa Nkasi aaamin,ili ufike ule muda wake ATAKAPOWASHAWISHI WABUNGE wamuongezee miaka 5 ya uongozi mh.Magufuli ili atuwezeshe TUIJENGE KANANI YETU na kuisimika vyema ARDHINI aaaamin aaaamin.
 
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

View attachment 1494512

Sisi ni matajiri
What a move! Big Congrats to Mr. President and the people of Tanzania, the plan was to be achieved in 2025.
But finally reached in 2020.
 
Machadema yatapinga!
Hawatakosa la kusema, sasa hivi watamzushia JF Member Kawe ALUMNI eti kafoji au kapewa fake document kutoka Lumumba etc etc. Hao ni WB wenyewe wamekubali jambo liwe jambo. Bado tunawasubiri IMF nao watoe OK halafu watu walie !
 
Sisi ni matajiri, nyie Chadema hamna shukrani Rais Magufuli anawalipa mshahara ila mnapiga kelele
Wote MATAGA mumefuata mkondo mmoja wa kusifia. Ngoja tuje na uchambuzi maana wote hamjui mnachojadili. Nimeona hadi mwenyekiti wenu ame tweet inaelekea na yeye hajui vizuri
 
Tulia hivyo hivyo sindano izame
Duh! Hata Lesotho wamo mkuu?, Alaf mh Kabudi si alituambia inaitwa United Republic of Tanzania mkuu?

Nitaendelea kusema siku zote Rais Magufuli anaweka historia ambayo itachukua vizazi vingi hadi kuja kufikiwa na viongozi wajao wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom