Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,196
- 1,456
Tunataka hela tukanunue unga wa kula na wanetu. Huo uchumi mkaongelee kwenye kamati zenu za siasa baada ya kupeana posho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuelewa swali; kwa hiyowewe ni kilaza kama vilaza wengine wote waliopo hapa JF.
Comment bora ya jioni hiiTunataka hela tukanunue unga wa kula na wanetu. Huo uchumi mkaongelee kwenye kamati zenu za siasa baada ya kupeana posho.
Zitto DJ Mbowe na genge lake walikuwa wanasema uchumi umezikwa WB wanasema umepaa mpaka tumefikia uchumi wa kati kudadadeki, hii ni furaha kwa CCM ni msiba mzito kwa wapinzani maana October hii hapa.Ina maana wana ccm ndiyo watanzania? Wapinzani kwa mujibu wako siyo watanzania?
Mbona tunayaona mpaka watu wanakunywa konyagi wanabilingitaSasa mbona maendeleo hatuyaoni?
Kwa hiyo hao jamaa Leo hii ni wajinga?Uchumi wa makaratasi leo hii ukiwa na elfu 10 ni kama una buku tu ujinga ujinga tu.
Nilitaka kukutukana kwa unafiki wako Ila nimegundua umekunywa Faru John ndomaana huoni yaliyofanyika kwa muda mfupi kwenye hii nchiSasa mbona maendeleo hatuyaoni?
Leo tumewashika pabayaaaaa. CCM HOYEEEEEEEKweli uchumi umekua View attachment 1494563
Kwa hiyo yule jamaa alilewa kwa huku?Kulewa hata mimi naweza kulewa.kwa buku tu na nikashindwa hata kunyanyua mguu
Wewe ndo sio mzima kila habari njema kwa nchi yako ni mbaya masikioni mwako. Utahojije uzima wangu? Fanya kazi acha lawama mshukuru Mungu hata kwa hicho unachokipataWewe sio mzima.
nieleze faida ya huo uchumi ambao Tanzania imeingia hii 2020.
.
wakati watu mtaani hawana ajira toka 2015, watu wanafanya tough works wanaambulia 20k ambayo hanunui chochote zaidi ya kula.
hivi wewe mzima kweli?
Hadi leo huna hela ya kununua unga ule na familia yako unasubiri Serikali ikinunulie? Yaani wewe kwa huo upimbi wako hufai kuishi Tanzania hii iloyojaa ardhi yenye rutuba teleTunataka hela tukanunue unga wa kula na wanetu. Huo uchumi mkaongelee kwenye kamati zenu za siasa baada ya kupeana posho.
Mkeo umemtia mimba, hayo siyo maendeleo?Sasa mbona maendeleo hatuyaoni?