Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Wewe acha masikhara kwenye hii issue.
Mwaka huu tu mwezi November watu watakuwa hawana vyakula kabisa mvua imeharibu mazao sana.
.
Tanzania ukapuku umejaa hivyo mpaka mwingine unatisha, viwanda vinafunguliwa na kufungwa, watu hawaajiriwi na vyeti wanavyo uje uniletee huu ujinga SIWEZI kuamini.
Hujarudi tu darasani?
 
Hata CORONA mlisema imeua maelfu ya watu, chaajabu mitaani hatukuona misiba, leo WB wamewapapasa wapinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
U-great thinker unanisaidia nini mimi unanilisha au?
serikali imeboreaha hayo mazingira wapi kwenye vyoo vya umma ama?
.
Kuna viwanda navijua viligunguliwa 2013 - 2014 vikubwa tu hivi sasa vimelala hakuna operations hao watu watapata wapi kazi?
.
Watu wanahamasishwa kwenda shule kwa mfumo ambao unamfanya ategemee kuajiriwa huku mtaani kuna watu toka 2015 kazi yao ni ku-apply tu na ni wengi ajabu.
mnajivunia madaraja watu hawana kazi wala hela si watavunja wakauze screpa we jamaa vipi
Yaani umenichekesha sana, ajira zisumbue Ulaya nahapa ulalamikie ajira? Amka fursa Tanzania ni nyingi ukiendelea kusubiri mwanaume fulani akuajiri utakufa maskini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Wewe ndiye lofa alfu 10000 sasa hivi unaenda sokoni unanua mchele kilo 5, maharage kilo 2 na chenchi ya kununulia mafuta inabaki, sasa hivi sisi huku uswahilini maisha raha. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki Rais Magufuli.
 
Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

View attachment 1494576

Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Aiseee
 
Acha kuhamisha magoli, roho mbaya inakusumbua, mchawi mpe sifa zake,

Viva JPM, na hii ni taarifa mbaya sana kwa kamati ya roho mbaya toka chadema.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mbona tunayaona mpaka watu wanakunywa konyagi wanabilingita
Huyu hapa

JamiiForums-726394381.jpg

Back
Top Bottom