paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Bado pia safari ikiendelea kuelekea huko mkuuBado uchumi wa kati kamili. Bado sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado pia safari ikiendelea kuelekea huko mkuuBado uchumi wa kati kamili. Bado sana.
angalia bbc hiyo tarifa wametoa saa 12 :30 jioni. Maana nyinyi mpaka Mbowe asemeNimetazama kwenye wavuti wa WB sijaona kitu kama hiki
Yaani tunalingia $1,063 ,Uchumi wa kati ni kuanzia $4000 na kitu. Kwanza upper lower income ni 1,035. Kenya wao wapo $ 1800 ila wapo kimyaaaa.Yani Jiwe limeandika tena kwa herufi kubwa kule Twitter kuwa "TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA KATI" na watu wana like na kupongeza! Level ya ujinga kwa watanzania ni ya juu sana!
Halafu huyu Kima kila akini-quote lazima aanze na matusi, and it's a matter of time kabla hajanisababishia ban huyu; manake mtu huwa unajiuliza how come mtu ambae hujamfanya chochote aanze tu kukumwagia matusi! Sijui ni kimada wa Jiwe na kwahiyo huwa anaumia sana akiona Jiwe anakosolewa, sipati jibu!Hilo limagu mbona linatukana kishamba hapa mzee
Wewe ambaye uko above average mind umetusaidia nini....kwenye hili taifa....ushangae hata Kodi tu unakwepa!!? ......Hawa wajuaji wa mdomoni wanatuchelewesha Sana...Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1494576
Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Uchumi wa makaratasi leo hii ukiwa na elfu 10 ni kama una buku tu ujinga ujinga tu.
Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Mkulima ateseke mwaka mzima alime we uje tu jf useme unataka hela ukale na wanao....[emoji2][emoji2]kwaiyo wakulimie bureeTunataka hela tukanunue unga wa kula na wanetu. Huo uchumi mkaongelee kwenye kamati zenu za siasa baada ya kupeana posho.
Vipi Jomba, povu la nini?! Kwani kuna mahali umetajwa kwamba nawe ni miongoni mwa hao walio below average?!Wewe ambaye uko above average mind umetusaidia nn....kwenye hili taifa....ushangae hata Kodi tu unakwepa!!? ......Hawa wajuaji wa mdomoni wanatuchelewesha Sana...
Kwa hiyo ulitaka wamlake Mbowe mzee wa bapa. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki Rais MagufuliYani Jiwe limeandika tena kwa herufi kubwa kule Twitter kuwa "TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA KATI" na watu wana like na kupongeza! Level ya ujinga kwa watanzania ni ya juu sana!
Umeangalia wapi..... au ulitaka kuyaona sehemu gani....maana Kuna maendeleo ya nchi na maendeleo binafsiSasa mbona maendeleo hatuyaoni?
Na tukifika huko mtalinganisha G20 ndivyo mtakavyosema! Watanzania bhana!!!Watu watajua tumefika level ya South Africa huko.
Sina namna ya kukusaidia dadangu zaidi ya kukuambia pole sana, na kwa heri but stop trying harder!Umeandika shit tu!
MaCCM bhana..!! Kwani mmelogwa!!?Tumekusikia wewe ass na ujinga wako! Haya rudi uendelee na Faru John hapo kibandani kwako. Kwa hiyo Serikali ya JK ilikuwa ni ya CDM na wala si ya CCM siyo?.
So ulitaka uwe na elfu 10 iwe kama million moja...?Uchumi wa makaratasi leo hii ukiwa na elfu 10 ni kama una buku tu ujinga ujinga tu.
Sasa wewe unataka watu wawekewe pesa mfukoni? Kufanga kazi ngumu ni adhabu au?. Ni aibu kwa mtu mwenye afya na utimamu wa akili kulalamika tu kwa kila jambo.Wewe sio mzima.
nieleze faida ya huo uchumi ambao Tanzania imeingia hii 2020.
.
wakati watu mtaani hawana ajira toka 2015, watu wanafanya tough works wanaambulia 20k ambayo hanunui chochote zaidi ya kula.
hivi wewe mzima kweli?
Wewe Mwenzetu kwani umechukizwa na hili?Yani Jiwe limeandika tena kwa herufi kubwa kule Twitter kuwa "TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA KATI" na watu wana like na kupongeza! Level ya ujinga kwa watanzania ni ya juu sana!
Hao watoto unataka uwape unga wale wamekuwa nyoka?Tunataka hela tukanunue unga wa kula na wanetu. Huo uchumi mkaongelee kwenye kamati zenu za siasa baada ya kupeana posho.
Wakiitwa nyumbu wanatoa povu, hoja za hovyo kabisa.Kama wewe unajiita great thinker na unategemea serikali ikuajiri pole sana, serikali inaboresha mazingira, wewe unayatumia kuchapa kazi unapiga pesa. Over