Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Uchumi wa kati ndoo nn
Hivi inakuwaje kuwaje
Nchi

Ova
Kisela kuna big boys ie UK USA Germany and the like, middle income earners ie Eastern Europe,Mexico na baadhi ya nchi za asia ....na lesser.men kama nchi nyingi za Afrika na Latino America.

sasa katika kundi la masikini sisi tunajitutumua kidogo kutoka chini kuja juu but katika kundi la hao masikini.....
 
Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Ni mtanzania gani unayemzungumzia? Umesikia mtu kafa na njaa huko?
 
Wewe sio mzima.
nieleze faida ya huo uchumi ambao Tanzania imeingia hii 2020.
.
wakati watu mtaani hawana ajira toka 2015, watu wanafanya tough works wanaambulia 20k ambayo hanunui chochote zaidi ya kula.
hivi wewe mzima kweli?
Kama wewe unajiita great thinker na unategemea serikali ikuajiri pole sana, serikali inaboresha mazingira, wewe unayatumia kuchapa kazi unapiga pesa. Over
 
Ghafla ugali umeongezeka kwenye sufuria zetu.
Wakulima watapata bei kubwa kwenye mazao yao.
There is nothing to celebrate!
 
Zitto DJ Mbowe na genge lake walikuwa wanasema uchumi umezikwa WB wanasema umepaa mpaka tumefikia uchumi wa kati kudadadeki, hii ni furaha kwa CCM ni msiba mzito kwa wapinzani maana October hii hapa.
Dj inakuuma sana naona

Ova
 
Nasubiri kuona Shilingi yetu ikiimarika dhidi ya USD!.. hapo ntawaelewa...
 
Zitto DJ Mbowe na genge lake walikuwa wanasema uchumi umezikwa WB wanasema umepaa mpaka tumefikia uchumi wa kati kudadadeki, hii ni furaha kwa CCM ni msiba mzito kwa wapinzani maana October hii hapa.
Ungekuwa unajua unachoongea basi ungeyakubali maelezo ya akina Zitto! Sasa ikiwa 2015 GNI per capita ilikuwa $980; lakini kwa miaka 5 bado alikuwa anahangaika kuivusha from $980 to somewhehre around $1036 !

Kwa maana nyingine, kwa miaka yote hii kumbe Magu alikuwa ana-hustle kupandisha kwa angalau $60!!!

per capita.png


Kama hapo huoni tatizo, then you've serious problem, kwa sababu, ikiwa from 2005 to 2010 ilipanda kwa $220, na from 2010 to 2015 pia ilipanda kwa $220, lakini miaka 5 ya JPM inaonesha ameshindwa kupandisha hata kwa $100!!
 
Back
Top Bottom