Hii hapa!Nimetazama kwenye wavuti wa WB sijaona kitu kama hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa!Nimetazama kwenye wavuti wa WB sijaona kitu kama hiki
Tatizo ukiingia hapo class ijayo unaweza kurudi class ya chini zaidi au ukapanda middle kamili.Ni sawa second class lakini lower.
Sasa mbona maendeleo hatuyaoni?
Yani Jiwe limeandika tena kwa herufi kubwa kule Twitter kuwa "TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA KATI" na watu wana like na kupongeza! Level ya ujinga kwa watanzania ni ya juu sana!Bado uchumi wa kati kamili. Bado sana.
Hujarudi tu darasani?Wewe acha masikhara kwenye hii issue.
Mwaka huu tu mwezi November watu watakuwa hawana vyakula kabisa mvua imeharibu mazao sana.
.
Tanzania ukapuku umejaa hivyo mpaka mwingine unatisha, viwanda vinafunguliwa na kufungwa, watu hawaajiriwi na vyeti wanavyo uje uniletee huu ujinga SIWEZI kuamini.
Hatimaye MABEBERU wameunga mkono juhudi.
Hata CORONA mlisema imeua maelfu ya watu, chaajabu mitaani hatukuona misiba, leo WB wamewapapasa wapinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe acha masikhara kwenye hii issue.
Mwaka huu tu mwezi November watu watakuwa hawana vyakula kabisa mvua imeharibu mazao sana.
.
Tanzania ukapuku umejaa hivyo mpaka mwingine unatisha, viwanda vinafunguliwa na kufungwa, watu hawaajiriwi na vyeti wanavyo uje uniletee huu ujinga SIWEZI kuamini.
Yaani umenichekesha sana, ajira zisumbue Ulaya nahapa ulalamikie ajira? Amka fursa Tanzania ni nyingi ukiendelea kusubiri mwanaume fulani akuajiri utakufa maskini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]U-great thinker unanisaidia nini mimi unanilisha au?
serikali imeboreaha hayo mazingira wapi kwenye vyoo vya umma ama?
.
Kuna viwanda navijua viligunguliwa 2013 - 2014 vikubwa tu hivi sasa vimelala hakuna operations hao watu watapata wapi kazi?
.
Watu wanahamasishwa kwenda shule kwa mfumo ambao unamfanya ategemee kuajiriwa huku mtaani kuna watu toka 2015 kazi yao ni ku-apply tu na ni wengi ajabu.
mnajivunia madaraja watu hawana kazi wala hela si watavunja wakauze screpa we jamaa vipi
Wewe ndiye lofa alfu 10000 sasa hivi unaenda sokoni unanua mchele kilo 5, maharage kilo 2 na chenchi ya kununulia mafuta inabaki, sasa hivi sisi huku uswahilini maisha raha. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki Rais Magufuli.Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Watu watajua tumefika level ya South Africa huko.Yani Jiwe limeandika tena kwa herufi kubwa kule Twitter kuwa "TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA KATI" na watu wana like na kupongeza! Level ya ujinga kwa watanzania ni ya juu sana!
Hakuna aliyenashida na wewe kula kulala!Wala msipate taabu ya IP Address... napatikana Tandika Azimio, Nyumba #5 !!!!!
AiseeeKwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1494576
Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Uchumi mdogo wa kati...hivi mnaelewa ili?Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amepongeza Watanzania wote!
Sijui wapinzani watatokea wapi safari hiiView attachment 1494549
Acha kuhamisha magoli, roho mbaya inakusumbua, mchawi mpe sifa zake,Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1494576
Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Nashukuru kama mwajitambua[emoji120][emoji120]Hao mabeberu wakiwakosoa mnawaita mabeberu, wakiwapongeza mnakenua! [emoji23][emoji23]
Na walivyo mazuzu, wote wanao-quote hiyo post hakuna wanachosema zaidi ya kumwaga matusi!Safi sana mkuu. Umeweka data na pia ukatolea ufafanuzi. Hapa ata ma layman wa Lumumba wataelewa ingawa watajifanya kichwa ngumu
Huyu hapaMbona tunayaona mpaka watu wanakunywa konyagi wanabilingita
Nayo ni low middle income kwan?Watu watajua tumefika level ya South Africa huko.