Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe ni linyumbu lililokubuhu.Ili iweje? Nani anakujua wewe Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni linyumbu lililokubuhu.Ili iweje? Nani anakujua wewe Tanzania?
Uchumi umekuwa Ila wananchi dhoofu Hali tete hata uwezo wa kula mihogo tu hawana,huu uchumi wa Kati kwa wapiga dili labdaTaarifa ya Benki ya Dunia kwamba Tanzania sasa imeingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati imepokelewa kwa furaha na wananchi wengi japo wapinzani wachache hawajafurahishwa.
Niseme tu hili siyo swala la kiitikadi bali ni jambo jema kitaifa.
Taarifa hii ni ya WB siyo ya CCM wala Twaweza na WB wana data za uhakika za uchumi kuliko chama chetu kikuu cha upinzani yaani Chadema.
Chonde chonde wananchi tushirikiane na serikali katika kuukuza na kuulinda uchumi wetu..... Tusije tukaporomoka.
Maendeleo hayana vyama!
🤣🤣Leo nchi yetu imeingia kwenye orodha ya nchi zenye uchumi wa katika ndoto ambayo kila mtanzania alikuwa anatamani itimie.
Tanzania tulizoe jambo lolote baya likitokea hapa kwetu hata kama halina mashiko basi lazima hivi vyombo vya habari vikubwa kama BBC, Al JAZEERA, CNN n.k vitatangaza tena kwa kuzipa uzito mkubwa.
Sasa ajabu leo bank ya Dunia imeitaja rasmi kuwa Tanzania ni moja ya nchi zenye uchumi wa kati lakini hawa jamaa wamekuwa kimya kabisa kama hawaoni wala hawajui chochote.
Inamaana wapo tu kusubiri taarifa mbaya ndio waripoti lakini taarifa nzuri kama hizi kwao ni sumu?
Au hili nalo linavunja haki za binadamu na kukandamiza Democrasia?
Ndugu yetu Salim kikeke inamaana hajasikia chochote?
Ukimya huu una maana gani?
Wale wazee wa matamko umoja wa Ulaya hapa nchini vipi hawajatoa tamko lolote kupongeza hatua hii kubwa ambayo nchi yetu imepiga chini ya Rais Magufuli?
Tungetajwa kuongoza kwa madeni je napo wangenyamaza kama hivi?
correct.Taarifa ya Benki ya Dunia kwamba Tanzania sasa imeingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati imepokelewa kwa furaha na wananchi wengi japo wapinzani wachache hawajafurahishwa.
Niseme tu hili siyo swala la kiitikadi bali ni jambo jema kitaifa.
Taarifa hii ni ya WB siyo ya CCM wala Twaweza na WB wana data za uhakika za uchumi kuliko chama chetu kikuu cha upinzani yaani Chadema.
Chonde chonde wananchi tushirikiane na serikali katika kuukuza na kuulinda uchumi wetu..... Tusije tukaporomoka.
Maendeleo hayana vyama!
Sorry Utopolo ndio nini?Purchasing power ya raia wa Kenya huwezi linganisha na purchasing power ya utopolo kama TZ nchi inayotoa ajira majukwaani.
.
Kenyans are smart and risk takers.
Ha ha ha eti risk takers.....ila kweli HATA rais mh.Uhuru alishawahi kusema "jameni wakenya tumezidi kwa wizi"Purchasing power ya raia wa Kenya huwezi linganisha na purchasing power ya utopolo kama TZ nchi inayotoa ajira majukwaani.
.
Kenyans are smart and risk takers.
Kwahiyo hao wachumi wa kimataifa hawapo huko WB?Unajua tofauti ya Lower Middle Income na Middle Income, BBC na Aljazeera ni vyombo vya kimataifa zinafatiliwa na wachumi wa kimataifa haziwezi kulishwa matango pori kama inavyolishwa TBC.
Utachambua kitu gani nyie wanywa konyagi?
Nyinyi ndio wale wachache wanapokurupuka kutoka kitandani huanza kumtaja na kumshukuru mungu,na si wale kina Mmawia wanaopapasa chupa ya faru John KABLA KUYAFUNGUA MACHO.Kwahiyo hao wachumi wa kimataifa hawapo huko WB?
Haya matangopori unayo yasema kayatunga nani ni sisi au ni hao WB?
Kwahiyo hivyo vyombo vya habari vinajua uchumi zaidi kuliko World Bank?
Hapana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kwamba umesahau kuweka "wa" badala ya "ba"... Umenifurahisha sana mkuu
Utetezi mwingine wa ajabu kweli, kwahiyo kama hii haiwezi kuwa habari ya kimaifa kwamba wao wanapima habari zao ila habari ya mtu mlevi kuporomoka kwenye ngazi kisha kuteguka mguu hiyo ndio habari yenye hadhi ya kimaifa.TBC si ipo
Hivyo vyombo ulivotaja kabla ya kutangaza habari huwa wanaipima. Kuna kitu kinaitwa news-worthiness. Yaani hii taarifa inafikia kiwango cha kuwa ni habari? Wao wasikilizaji wao ni wa dunia. Jee Tanzania kufikia lower-middle income ni habari au ni taarifa tu? Kuna nchi ngapi nyengine zime achieve hayo au zaidi ya hayo katika ripoti hiyo ya WB? Wazitaje zote au wachukuwe izilizo vuka malengo na zilizoshuka kiwango kuliko matarajio?
Tanzania ilitegemewa kufikia hapa ilipo kutokana na mwenendo wa taarifa za nyuma yake. Kwa hiyo hiyo siyo habari ya level ya kimataifa bali ni ya Local tu. Kwa hiyo tutegemee kutangazwa na TBC na EATV na local TV nyengine!