Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Kunya anye kuku tu akinya Bata kaharisha !!!!! Tatizo pia mdharau kwao Ni mtumwa hakika
 
Uchumi
Uchumi umekuwa Ila wananchi dhoofu Hali tete hata uwezo wa kula mihogo tu hawana,huu uchumi wa Kati kwa wapiga dili labda
 
Tatizo tupo kwenye boda kiasi kwamba tukitikisika kidogo tuu, puuuu LDC .[emoji1][emoji1]
 
🤣🤣
 
correct.

lakini hapo ni sawa sawa na mwanafunzi ki-la-za darasani aliyeanza kupata E kwenye mtihani kutoka F.
nchi yetu bado ipo katika nafasi ya 158 (ki-la-za) kati ya nchi 186 - yaani hapo tafsiri yake ni kuwa Tanzania bado ni among the top 30 poorest countries in the world!!
 
Kama jiwe hajafanya kitu...hata kagame huko Rwanda na kwingineko kote viongozi wa nchi masikini kumbe Basi hawajafanya kitu
 
Ni haki ya Tanzania kuwa ktk uchumi wakati kati-wachini kwasababu = hakuna nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, mafao ya wastaafu hayalipwi vyema, kodi za watanzania zimewekezwa ktk vitu na sio watu, serikali kupokonya wakulima mazao na hawalipwi kwa wakati au kuzulumiwa kabisa, serikari kun'gan'gania makampuni makubwa ya mawasiliano kwa kuyabinafsisha. hivyo serikari imejilimbikizia fedha nyingi ili kujipa nguvu na kudhofisha wananchi wake kikubwa na kibaya ni kuwa asilimia 60 mpaka 70 ya nchi zilizopo ktk uchumi wa kati-wachini wananchi wake ni makapuku wasiojimudu.
 
kwani tatizo liko wapi kenya wakiwepo, sio vizuri kufuatilia ya jirani muda wote la muhimu na la mbolea ni kujiangalia sisi na kujali yetu
 
na kwanini mty abakie kuwa mwananchi wa kawaida!!! hivi nyie mnaona watu wanaopata shida tu, hamuoni na watanzania wanaopiga hatua, namaanisha watanzania wanaofungua biashara, wanaosomesha watoto wanaohitimu kila mwaka, wale wanaojenga nyumba na majumba kila uchwao, hao hamuwaoni!!! mnawaona wanaohangaika tu ambao miongoni mwao (sio wote) wapo hivyo kwasababu ya uvivu, kutoona fursa n.k
 
Purchasing power ya raia wa Kenya huwezi linganisha na purchasing power ya utopolo kama TZ nchi inayotoa ajira majukwaani.
.
Kenyans are smart and risk takers.
Sorry Utopolo ndio nini?
Ooh so wewe sababu ni Mtz sio smart?
 
badala ya kuona hapo si kitu, njoo na mawazo ya jinsi gani tutasogea mbele zaidi, mawazo yako chanya ni bora zaidi ya kupuuza kwenu kuwa hakuna cha ajabu
 
Purchasing power ya raia wa Kenya huwezi linganisha na purchasing power ya utopolo kama TZ nchi inayotoa ajira majukwaani.
.
Kenyans are smart and risk takers.
Ha ha ha eti risk takers.....ila kweli HATA rais mh.Uhuru alishawahi kusema "jameni wakenya tumezidi kwa wizi"
 
Unajua tofauti ya Lower Middle Income na Middle Income, BBC na Aljazeera ni vyombo vya kimataifa zinafatiliwa na wachumi wa kimataifa haziwezi kulishwa matango pori kama inavyolishwa TBC.
Kwahiyo hao wachumi wa kimataifa hawapo huko WB?
Haya matangopori unayo yasema kayatunga nani ni sisi au ni hao WB?
Kwahiyo hivyo vyombo vya habari vinajua uchumi zaidi kuliko World Bank?
 
Mkuu hawa nzi wa kijani wamechagua kutokusoma fact uliyoandika na wamehamua kwenda na bandiko la jiinzi kubwa kuliko
 
Kwahiyo hao wachumi wa kimataifa hawapo huko WB?
Haya matangopori unayo yasema kayatunga nani ni sisi au ni hao WB?
Kwahiyo hivyo vyombo vya habari vinajua uchumi zaidi kuliko World Bank?
Nyinyi ndio wale wachache wanapokurupuka kutoka kitandani huanza kumtaja na kumshukuru mungu,na si wale kina Mmawia wanaopapasa chupa ya faru John KABLA KUYAFUNGUA MACHO.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kwamba umesahau kuweka "wa" badala ya "ba"... Umenifurahisha sana mkuu
Hapana mkuu
nilisikia kwenye mwimbo wa msanii wa Rap anaitwa itwa Niki mbishi ,nyimbo yake inaitwa I'm sorry Jk
 
Utetezi mwingine wa ajabu kweli, kwahiyo kama hii haiwezi kuwa habari ya kimaifa kwamba wao wanapima habari zao ila habari ya mtu mlevi kuporomoka kwenye ngazi kisha kuteguka mguu hiyo ndio habari yenye hadhi ya kimaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…