Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Akina Sudan Kenya na Zambia wako huko mda mrefu


Kuwa huko muda mrefu ni jambo jingine na kukutwa huko nalo ni jambo jingine, Je kwa mujibu wa andiko hili vigezo vilivyobadilishwa vimewafanya hao waliokuwa huko kupanda au?
 
Hivi umeelewa nilichoandika?! Kuna mahali nimepingana na Benki ya Dunia hadi useme ninadhani nina akili kuliko WB?

Kuna mahali niliposema uchumi wa Tanzania ni miguu juu, angalau kuashiria hayo?

Hivi nyie watu kwanini usiwe mnasoma kwanza na kuelewa kabla hamjatoa hoja zenu?!
 
Sababu hazikosekani.....!!!

Pamoja na yote tumetoka kwenye nchi maskini.
 
Who has to care abt Kenya?
Get a rest ... tunashangilia kilichopo..

U know what? WB wamekanusha hiyo barua..

I hope you will soon get better[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo wewe na hao walio toa hiyo taarifa nani mtaalamu sasa, unadhani kwamba wao hawajui hizo formula mkuu.?
Hakuna utaalamu ila interpretation tu ndio kila kitu. Ndio maana wao wameweka hiyo footnote ili mtu akichambua hiyo takwimu aelewe kivp Zimbabwe ni uchumi wa kati ilihali inapumulia ICU!!

Ni sawa na ukiona list ya nchi yenye madeni zaidi duniani Utaona marekani ina madeni 100% ya pato la taifa!! Ssa ukienda kichwa kichwa utasema marekani ndio nchi yenye uchumi mbovu duniani sababu eti ina madeni zaidi........ Ama China inaizidi pato la taifa USA ila haiwekwi kwenye nchi zilizoendelea umewahi kujiuliza?

Takwimu za uchumi unatakiwa usome METHODOLOGY sio kichwa cha habari. Ndio maana ile juzi tumeambiwa kuna ajira laki 6 toka Magufuli aingie madarakani ila kuna watu walidhani ni Ajira kma ajira rasmi laki 6 kumbe ni fursa zilozotengenezwa mtu kujiajiri kwa sababu ya miundombinu iliyowekwa ila sio kwamba ni nafasi za kazi LAKI 6.
 
Kuwa huko muda mrefu ni jambo jingine na kukutwa huko nalo ni jambo jingine, Je kwa mujibu wa andiko hili vigezo vilivyobadilishwa vimewafanya hao waliokuwa huko kupanda au?
Sidhani kama utapata majibu ya hili swali mkuu.
 
Narudia hoja ile ile Team Piga Makofi inayowakera!!!

Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).



Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-



Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.



Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!

Na hapana shaka hata kidogo kwamba, mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average
 
Laizer peke yake kwa Tanzanite aliyopata juzi ni sawa na kuwaingiza watanzania 3,281 kwenye uchumi wa kati! Ndiyo maana takwimu hizi hazionyeshi uhalisia wa fedha mifukoni mwa walio wengi.
 
Soma kama kilivyo piga maisha...

Ukichambua takwimu na ukafananisha na Kenya, Malawi na Singapole ndio unaonekana una akili?

Nyambaff imekuja kama ilivyo... haimaanishi ni matajiri ila we have the right to celebrate hiki kwa muda huu...

Hupendi katafute kamba na mti ... u know what to do next[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haijalishi aliyefunga goli ndio huonekana shujaa machoni pa watu
 
Una uthibitisho misumari wanaagiza nje?
Ndio mkuu hata bima zao wamekatia makampuni ya nje, pesa wanaweka akaunti za nje sie tumeishia kipata vibarua tu. Ndio maana nikasema takwimu chambua kwa umakini.
Kma ni SGR itaonyesha serikali imewekeza trillion kadhaa aaah mwisho wa siku zimeishia kwa muarabu. Ila kwa nje unaweza shangilia kuwa mtaani imeingia trillion 6!! Hivyo ndio pato la taifa litapigiwa hesabu hasa ikiwa expenditure approach.

Mkuu hivi hushangai Zimbabwe pia ni Uchumi wa kati? Really??
 
Kuna siku nilikuwa na friends. Nikamsifu dada mmoja anenunua gari zuri sana... jamaa waliongea shombo sana.. gari lenyewe lilishawahi kupata ajali na blah blah kibao.

Ni zuri kwa muonekano ndio maana nimesifia... mengine ya past sijui yanini?

Barua imejieleza... tunasema bravo... ooh wajinga, kenya, rwanda, south Africa... yametokea wapi?

Roho nyeusi kama za waganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]

Mnakuja na dataz na statistics... simple ... shangilia barua kwanza hayo mengine baadae

Wana ccm na wana magufuli.... najua wote mmeshikilia kinywaji... gongeni na tuseme cheers....

Wanaoteseka hatuna namna ya kuwasiaida for now..

 
Sasa wewe nikuulize kitu kimoja. Hiyo habari ya WB imetolew.kwa Tanzania tu peke yake.au kwa nchi zote?

Yakitoka matokeo ya mitihani vyombo vya habari vinataja shule zote na watahiniwa wote au tu wale walio excel katika matokeo? The point is kuna nchi zimefanya vizuri kuliko matarajio na ndio hiyo itakuwa habari. Tanzania ilitegemewa tayari kufikia zaidi ya hapo sasa hiyo ni habari ya kuitangazia dunia? Watu wako kikazi nq kibiashara zaidi hawako kufurahisha wajinga kama nyie!

TBC ipo na na munavoaminishwa ni chombo cha habari bora zaidi duniani tangazieni na watu wataipata hii habari. Musilazimishe watu kutangaza nankugeuza kuwa news the expected. You dont get praisedfor getting to.work on time but you get hammered by being late!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…