Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Akina Sudan Kenya na Zambia wako huko mda mrefu

Kuwa huko muda mrefu ni jambo jingine na kukutwa huko nalo ni jambo jingine, Je kwa mujibu wa andiko hili vigezo vilivyobadilishwa vimewafanya hao waliokuwa huko kupanda au?
 
Mkuu kwa jinsi ulivyojikamua apo juu kwa akili ya kawaida tu ina maana wewe una akili kuliko hao world bank.

Una miliki mfumo wako wa kipekee kabisa wa kudadavua uchumi wa kati ambao ndani yake una formular za kipekee zinazoonyesha na kutoa majibu kuwa ni Tanzania pekee kwenye hiyo list ya nchi za uchumi wa kati duniani ndiyo uchumi wake wa kati ni wa miguu juu chini,yani yenyewe imekuwa inakuwa kiuchumi kwa kuludi nyuma.

Mwisho kabisa nkuulize kitu??ushawahi kusikia mtu mwenye kipaji cha kuwa na roho mbaya....mkuu wewe ni zaidi ya huyo mtu,na hauko peke yako ni pamoja na hao waliokupa likes
Hivi umeelewa nilichoandika?! Kuna mahali nimepingana na Benki ya Dunia hadi useme ninadhani nina akili kuliko WB?

Kuna mahali niliposema uchumi wa Tanzania ni miguu juu, angalau kuashiria hayo?

Hivi nyie watu kwanini usiwe mnasoma kwanza na kuelewa kabla hamjatoa hoja zenu?!
 
Sababu hazikosekani.....!!!

Pamoja na yote tumetoka kwenye nchi maskini.
 
Who has to care abt Kenya?
Get a rest ... tunashangilia kilichopo..

U know what? WB wamekanusha hiyo barua..

I hope you will soon get better[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti kuniuma! Unajua nyie watu siasa zinawafanya mshindwe kuwa reasonable! In short, mnachofurahia kwa mbwembwe hapa is just virtual thing manake physically or in reality, hakuna chochote!

Wakati nyie mnaongea kwa tambo na majigambo; Kenya hiyo hatua walishaipita kitambo sana!! Kuna nini cha maana nchini Kenya? Mbaya zaidi, hata kama mnajifanya hamuoni, ukweli ni kwamba inasikitisha kwamba since 2015 bado tulikuwa tunahangaika kufikia angalau wastani wa $50 annually!

JPM ameshakamilisha 4 years budget, na kwa increase of $50 annually, hiyo Low Middle Income ingefikiwa since 2018. Tena nafahamu kinachowekera... ni ile kuwakea ushahidi kwamba kumbe performance before JPM ilikuwa much better kuliko yeye!

Ni kutokana na ukweli huo, ndio maana mwenzake aliweza kupandisha from $500 to $720 katika awamu yake ya kwanza ikiwa an increase of $220, wakati JPM awamu ya kwanza amepandisha just from $980 to $1063... only an increase of $83!!

Sasa angalia gap hilo, lakini bado mnatamba kwa shangwe na tambo!!!

Mtaumia sana, lakini ripoti hii imethibitisha yale tuliyokuwa tunasema kila siku kwamba JPM anavuruga uchumi! Tena hapo kwenye system zimeingia na zile mlizowakwapua wafanyabiashara kwa kigezo cha ufisadi lakini ufisadi uliofanywa na viongozi wa juu wa CCM mkiufumbia macho!
 
Kwa hiyo wewe na hao walio toa hiyo taarifa nani mtaalamu sasa, unadhani kwamba wao hawajui hizo formula mkuu.?
Hakuna utaalamu ila interpretation tu ndio kila kitu. Ndio maana wao wameweka hiyo footnote ili mtu akichambua hiyo takwimu aelewe kivp Zimbabwe ni uchumi wa kati ilihali inapumulia ICU!!

Ni sawa na ukiona list ya nchi yenye madeni zaidi duniani Utaona marekani ina madeni 100% ya pato la taifa!! Ssa ukienda kichwa kichwa utasema marekani ndio nchi yenye uchumi mbovu duniani sababu eti ina madeni zaidi........ Ama China inaizidi pato la taifa USA ila haiwekwi kwenye nchi zilizoendelea umewahi kujiuliza?

Takwimu za uchumi unatakiwa usome METHODOLOGY sio kichwa cha habari. Ndio maana ile juzi tumeambiwa kuna ajira laki 6 toka Magufuli aingie madarakani ila kuna watu walidhani ni Ajira kma ajira rasmi laki 6 kumbe ni fursa zilozotengenezwa mtu kujiajiri kwa sababu ya miundombinu iliyowekwa ila sio kwamba ni nafasi za kazi LAKI 6.
 
Kuwa huko muda mrefu ni jambo jingine na kukutwa huko nalo ni jambo jingine, Je kwa mujibu wa andiko hili vigezo vilivyobadilishwa vimewafanya hao waliokuwa huko kupanda au?
Sidhani kama utapata majibu ya hili swali mkuu.
 
Narudia hoja ile ile Team Piga Makofi inayowakera!!!

Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:-
For the current 2021 fiscal year, low-income economies are defined as those with a GNI per capita, calculated using the World Bank Atlas method, of $1,035 or less in 2019; lower middle-income economies are those with a GNI per capita between $1,036 and $4,045;
Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).

per capita.png

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-

per capita 2.png

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

per capita 3.png

Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!

Na hapana shaka hata kidogo kwamba, mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average
 
Laizer peke yake kwa Tanzanite aliyopata juzi ni sawa na kuwaingiza watanzania 3,281 kwenye uchumi wa kati! Ndiyo maana takwimu hizi hazionyeshi uhalisia wa fedha mifukoni mwa walio wengi.
 
Soma kama kilivyo piga maisha...

Ukichambua takwimu na ukafananisha na Kenya, Malawi na Singapole ndio unaonekana una akili?

Nyambaff imekuja kama ilivyo... haimaanishi ni matajiri ila we have the right to celebrate hiki kwa muda huu...

Hupendi katafute kamba na mti ... u know what to do next[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna utaalamu ila interpretation tu ndio kila kitu. Ndio maana wao wameweka hiyo footnote ili mtu akichambua hiyo takwimu aelewe kivp Zimbabwe ni uchumi wa kati ilihali inapumulia ICU!!

Ni sawa na ukiona list ya nchi yenye madeni zaidi duniani Utaona marekani ina madeni 100% ya pato la taifa!! Ssa ukienda kichwa kichwa utasema marekani ndio nchi yenye uchumi mbovu duniani sababu eti ina madeni zaidi........ Ama China inaizidi pato la taifa USA ila haiwekwi kwenye nchi zilizoendelea umewahi kujiuliza?

Takwimu za uchumi unatakiwa usome METHODOLOGY sio kichwa cha habari. Ndio maana ile juzi tumeambiwa kuna ajira laki 6 toka Magufuli aingie madarakani ila kuna watu walidhani ni Ajira kma ajira rasmi laki 6 kumbe ni fursa zilozotengenezwa mtu kujiajiri kwa sababu ya miundombinu iliyowekwa ila sio kwamba ni nafasi za kazi LAKI 6.
 
Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

View attachment 1494576

Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Haijalishi aliyefunga goli ndio huonekana shujaa machoni pa watu
 
Una uthibitisho misumari wanaagiza nje?
Ndio mkuu hata bima zao wamekatia makampuni ya nje, pesa wanaweka akaunti za nje sie tumeishia kipata vibarua tu. Ndio maana nikasema takwimu chambua kwa umakini.
Kma ni SGR itaonyesha serikali imewekeza trillion kadhaa aaah mwisho wa siku zimeishia kwa muarabu. Ila kwa nje unaweza shangilia kuwa mtaani imeingia trillion 6!! Hivyo ndio pato la taifa litapigiwa hesabu hasa ikiwa expenditure approach.

Mkuu hivi hushangai Zimbabwe pia ni Uchumi wa kati? Really??
 
Kuna siku nilikuwa na friends. Nikamsifu dada mmoja anenunua gari zuri sana... jamaa waliongea shombo sana.. gari lenyewe lilishawahi kupata ajali na blah blah kibao.

Ni zuri kwa muonekano ndio maana nimesifia... mengine ya past sijui yanini?

Barua imejieleza... tunasema bravo... ooh wajinga, kenya, rwanda, south Africa... yametokea wapi?

Roho nyeusi kama za waganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]

Mnakuja na dataz na statistics... simple ... shangilia barua kwanza hayo mengine baadae

Wana ccm na wana magufuli.... najua wote mmeshikilia kinywaji... gongeni na tuseme cheers....

Wanaoteseka hatuna namna ya kuwasiaida for now..

Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

Ila mbowe akilewa faru john akateguka mguu ni habali ya kimataifa?
Yaani nyie sijui vichwa vyenu vinatumika kusafishia matako tu?

Taarifa imetoka WB bado ina mashaka kwa vyombo vya habali vikubwa, ila taarifa zikitolewa na Tanzania daima haipiti nusu saa wametangaza wote sasa hapo uchambuzi huwa wamefanywa saa ngapi?

Je tanzania daima ina uhakika kuliko taarifa za WORLD BANK?
Sasa wewe nikuulize kitu kimoja. Hiyo habari ya WB imetolew.kwa Tanzania tu peke yake.au kwa nchi zote?

Yakitoka matokeo ya mitihani vyombo vya habari vinataja shule zote na watahiniwa wote au tu wale walio excel katika matokeo? The point is kuna nchi zimefanya vizuri kuliko matarajio na ndio hiyo itakuwa habari. Tanzania ilitegemewa tayari kufikia zaidi ya hapo sasa hiyo ni habari ya kuitangazia dunia? Watu wako kikazi nq kibiashara zaidi hawako kufurahisha wajinga kama nyie!

TBC ipo na na munavoaminishwa ni chombo cha habari bora zaidi duniani tangazieni na watu wataipata hii habari. Musilazimishe watu kutangaza nankugeuza kuwa news the expected. You dont get praisedfor getting to.work on time but you get hammered by being late!
 
Back
Top Bottom