Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Vitabia vyengine vya kimirembemirembe kweli,we mtu na akili zako unakuwa huelewi...huku hawapo,kule hawapo....

Mimi nilijishika kidevu nikanusa kidole changu.
Jitu linaiga linajitia kiddd.oleee masaburini na kujinusa PUANI...vijana wa CDM bure kabisa.
 
Siku wakisema uchumi unakuwa kwa 4.7% Tusipinge data zao
 
Hakuna kitu kibaya kama ukijengwa kwenye kupinga kila kitu. Sioni kosa la mheshimiwa raisi nashangaa watu wanaleta data tu. Kuna mmoja kasema msishangilie ngoja niwaletee data. Yeye nani tumwamini kuliko bank ya dunia? Au wanafikiri Jpm alikurupuka. Uzuri wa haya mambo yako wazi na ni hesabu ndogo tu wala hazihitaji kukesha darasani.
 
Hivi ni kweli hujaelewa nilichokisema au hutaki tu kukielewa kwa sababu ni hoja ambayo usingependa kuisikia?!
Chuki zako wewe ni kwa Magufuli tu basi!
Ndio maana mada inaongelea tanzania kuingia kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati! Lakini wewe umeenda kuokota vidata vyako huko kuja kuwaokota wajinga humu.. Swali langu, wewe hukubaliani na WB?

Hizi chuki zako zipo tangu tangu covid19 imeingia ukiwa sifia Kenya, Uganda na Rwanda, haya umeona sasa wale waliokuwa unawasifia kisa tu unamchukia Magufuli wako wapi na sisi tuko wapi?

Kwanza wamekwambia kale kamkutano kao kalikofanya umtukane sana Magu hapa kwa chuki zako kameleta impact gani?

Sasa hata hili la WB nalo wewe uko hapa bado kuonesha chuki zako! Haya wapigie hao WB basi kwamba Magufuli hafai ili wabadirishe uamuzi,...
 
Mimi nadhani ukimtafuta DAKTARI bingwa wa magonjwa ya akili halafu ukamuuliza;

Hivi vitabia vya kupingapinga walivyonavyo watu hususani wa Chadema na wenzao wengine UNAVIONAJE?!!!

USISHANGAE UKAPEWA JINA GUMU LA KISOMI LA AFYA MBOVU ZA AKILI ZAO...
 
Nguzo kuingia kwenye uchumi wa kati na nyumba za tembe
Na kuingia kwenye uchumi wa kati haimaanishi kuwa kila mtu ana hela hapa ni wastani tu umekaa vizuri hauweki gap kubwa kati ya walio nacho na wasio nacho. Afrika ya kusini ni moja nchi ya tano dunia ambazo uchumi wake unakua kwa kasi. Ikiwekwa sambamba na Brazil, Urusi, India, na China. Lakini nenda kaangalie maisha ya waafrika huko madiba yalivyo duni. Kukua kwa uchumi haimaanishi hela zinajaa mfukoni mwa watu. Tusipofanya kazi tutakufa njaa tu
 
👋👋👍
 
Huyo Chige ni mjinga tu anaefikiri ni msomi sana kumbe hata mimi darasa la saba namzidi!

Shida ya vijana hawa wanaojifanya kumkosoa Magufuli hawaelewi wamkosoa wapi na kwa vipi, ndio sababu wako tayari kumshabikia Membe kuliko Lisu sababu tu Membe hayuko pamoja na Magufuli!

Unarudi kujiuliza swali, akitoka Magufuli ndio ccm imetoka?
 
Ngoja nikupuuze manake hakuna hoja ninayoona ya kiboya kama hoja eti nina chuki kwa Magufuli!!!
 
Cra'p!!
 
Kabisa mkuu,,!
Kenya ipo uchumi wa kati toka zamani lakini hakuna wanachi wenye maisha magumu kama wa Kenya afrika mashariki hii,!

Sisi hapa pamoja na umasikini wetu lakini mtu kukosa kabisa msosi ni uzembe wake mwenyewe,
Hapa kwetu vyakula vipo tele tena kwa bei nafuu sana.
Hapa tz unaweza kusikia mtu analia njaa lakini ana bonge la shamba kijijinj kwao na ng'ombe kibao. Kenya hilo huwezi kukuta, wanachi ni masikini hasa vyakula shida mashamba hawana yani wanachi wa Kenya hutamani sana maisha ya raia wa tz yalivyo marahisi.

Achana na haya yanayopiga kelele humu yanasubiri ajira za kuzunguka kwenye viti pale mitaa ya posta dar.
 
Unajitahidi kupika midata yako ili utuaminishe upuuzi, kaa mbali na uchafu wako huo
 
Bwebwe zote za nini sasa kama unasema uchumi unapaa halafu sina uhakika wa chakula?
 
Post zako kuhusu corona zipo mkuu,! Ndio shida ya kujifafanya unajua sana kila kitu,

Mmeandika takataka nyingi sana nyie kuhusu Magufuli kwenye suala la corona,

Ndio maana wengine huko dodoma wamelewa na kuteguka miguu kwa kulewa, pengine ni laana ya yale Maombi ambayo wakati wengine wanafunga na kuomba nyie mnakejeli kwa kusema Mungu yuko Italia na Uarabuni sie huku afrika ni wajinga tu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajitahidi kupika midata yako ili utuaminishe upuuzi, kaa mbali na uchafu wako huo
NONSENSE! Mimi ndie huwa natengeneza data za World Bank hadi useme napika data?!
 
Cr'ap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…