Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAwa ndo raia wa midle incomeNeno LOWER limeonekana linaondoa ladha ya kutapeli raia.
Serikali yetu imefikia mahali ipo kama zuzu afanyaye kazi kwa Baniani mjini akipata salary increment tuu habari zitatangazwa kwao kijiji kizima kwa ndelemo.
Taarifa hii ya WB usishangae UVCCM wakaitisha maandamano nchi nzima kuipongeza ccm na jpm bila wao kuelewa maana halisi.
View attachment 1494980
Tupo Lowe middle income kwa miaka sita tumeongeza 40$ tuPongezi kwa watanzania na serikali yao, japo maisha ya raia mmoja mmoja bado magumu sana
Propaganda hazitaisaidia nchi Bali ukweli
Acha wenge, kwamba raisi aliyeahidi ajira kwa vijana aliwaongopea?Kama wewe unajiita great thinker na unategemea serikali ikuajiri pole sana, serikali inaboresha mazingira, wewe unayatumia kuchapa kazi unapiga pesa. Over
BBB Swahili wameongelea kwa kina asubuhi hiiLeo nchi yetu imeingia kwenye orodha ya nchi zenye uchumi wa katika ndoto ambayo kila mtanzania alikuwa anatamani itimie.
Tanzania tulizoe jambo lolote baya likitokea hapa kwetu hata kama halina mashiko basi lazima hivi vyombo vya habari vikubwa kama BBC, Al JAZEERA, CNN n.k vitatangaza tena kwa kuzipa uzito mkubwa.
Sasa ajabu leo bank ya Dunia imeitaja rasmi kuwa Tanzania ni moja ya nchi zenye uchumi wa kati lakini hawa jamaa wamekuwa kimya kabisa kama hawaoni wala hawajui chochote.
Inamaana wapo tu kusubiri taarifa mbaya ndio waripoti lakini taarifa nzuri kama hizi kwao ni sumu?
Au hili nalo linavunja haki za binadamu na kukandamiza Democrasia?
Ndugu yetu Salim kikeke inamaana hajasikia chochote?
Ukimya huu una maana gani?
Wale wazee wa matamko umoja wa Ulaya hapa nchini vipi hawajatoa tamko lolote kupongeza hatua hii kubwa ambayo nchi yetu imepiga chini ya Rais Magufuli?
Tungetajwa kuongoza kwa madeni je napo wangenyamaza kama hivi?
Kumbe nchi kuingia Uchumi wa kati ni kama kuvuka daraja kwenda ng'ambo.Kirahisi tu Mara paap tupo Kigamboni au Magogoni Fery.Tupo na vinchi kama Uswatini,Lesotho, Comoro!!! Yaani,hadi raha.Machadema yatapinga!
Lete za World bank. Maana ndo wanaopanga. Halafu GDP sio sawa na GNI.World bank wanatumia GNI.Hizi ni data kutoka CIA fact book kwa Tanzania
GDP - per capita (PPP):
$3,200 (2017 est.)
$3,100 (2016 est.)
$3,000 (2015 est.)
Note: data are in 2017 dollars