Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Daah bora kile kizazi cha kina chifu mangungo watajitetea hawakuwa na elimu sasa hiki wataalamu kibao ila ndo wanatupoteza na kutuingiza kwenye umaskini wa milele.
 

Unataka kutuambia wachina ni masikini! Hao hao wazungu wanaeneza ushoga unawaona bora kuliko mchina!!!! Hao hao wazungu wameleta biashara ya utumwa na kutesa babu zetu unawaona bora kuliko mchina!!! Are you serious!!
 
Unataka kutuambia wachina ni masikini! Hao hao wazungu wanaeneza ushoga unawaona bora kuliko mchina!!!! Hao hao wazungu wameleta biashara ya utumwa na kutesa babu zetu unawaona bora kuliko mchina!!! Are you serious!!
Kwanini mnajifanya mna uchungu na 'matako' ya watu? mlishawahi kuwaona wapi.
 
Jibe swali wacha porojo. Au ni mwiba? Haumezeki hautemeek. Teh teh teh.
Tumia akili, hivi wakati Tanganyika ikiwa koloni la wazungu waliibeba kuipeleka ulaya, waliwezaje kutunyonya.
 
Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
USA hawaingii negotiation za kipumbavu kama za nchi za kiafrika. Kabla ya kukopa wanafanya upembuzi yakinifu na wa wazi kiasi ambacho watu wao wanahoji, terms za mkopo kati ya china na us haziwezi kuwa sawa na vinchi vya kiafrika na china, viafrika kunegotiate utakuta kuna 100% za viongozi, huwezi kuta huu upuuzi kwa us.
 
Bado jiwe siku wameondoka hizo bombardier zake pamoja na uwanja wake Wa chato ndo atakoma kumfagilia mchina
 

Unataka uambiwe ili ufanye nini!!!!haya subiri kulipa kama ni kazi yako.
 
Sasa ulitakaje?Dawa ya mkopo si kulipa.Unataka upewe mkopo halafu ukishindwa kulipa wakusamehe,ajabu sana.

Uzuri wa China ni kwamba kwa mikopo yao, there are no strings attached.Tatizo la Ulaya na Marekani ni kwamba wanataka mkubali kwanza same sex marriages,shame on them.Halafu Watanzania wenzetu wanawapigia tena "wagosi" wanawapigie chapua.Ajabu sana.Mwanaume unaambiwa uolewe unafurahia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…