Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Hiki alichofanya mume wa huyu mwandishi sio kigeni Sana hapa mjini.
Hii huwa inatumika Sana kumnyoosha mwanamke mwenye tamaa ya Mali akijua atapata mgao wa 50/50 kwenye talaka.
Mi mwnyw Mali zangu 75% ziko kwnyw mikopo sehemu mbali mbali. Hata hati ambazo haziko kwny mikopo nmezifica kwny safe box yangu huko huko benki.
Siku wife akijichetua TU
Anataa tigawane Basi ajipange kugawana na madeni. Atakachopata Ni kidg mno maana hati zote wanazo wadai wangu.
Imeandikwa,
WANAUME TUISHI NAO KWA AKILI
Wajuba watakuja kuuliza je ukikata moto itakuwaje ![emoji276]