Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2


Wajuba watakuja kuuliza je ukikata moto itakuwaje ![emoji276]
 
Hii 50/50 itakuwa ngumu. Ndio maana nawaambia wanawake wenzangu hakikisha majina yako yapo kwenye mali otherwise hakuna cha 50/50 mkiachana
 
Itakuwa bibie kamwaga mboga, bwana mkubwa kaondoka na ugali wenyewe kabisa
Brother
tujaribu tuumize kichwa kidogo
Mfano ,, nyumba ina thamani ya mil 60 .....na kiwanja.

Kama tukiiuza tukagawana pasu Kwa pasu ,kila mmoja atapata mil 30.

Kama nikiacha benki wakaiuza kama walivyofanya Kwa mil 30 then wakakata mil 5 yao ...yabaki 25 ambayo nafikir KAMA SIJAKOSEA ni ya wenye nyumba .....wakipiga pasu ni mil 12.5 kila mmoja.(nakutafutia hii hela br makaveli10 unainunua hii)

12.5 + deni 5 napata mil 17.5

Instead ya kupoteza mil 30 na deni likiwa lipo pale pale jumla mil 35 nakuwa nimepoteza mil 17.5 na deni limelipwa na hatudaiani chochote kila mtu na mishe zake.

Unachagua kipi?

Ila ni Kwa mfano tu br sio vita..😁
 
Kwa ushauri usikopi zaidi ya uwezo wako
Mimi sikopi abadan bali ni ushauri kwa wengine
 
Kama nyumba imeshauzwa ajiandae tu kufanya mambo mengine.
 
Kwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.

Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
Usijali ukikua utakopa
 
Katika huo huo mfano tufanye Mwenyezi Mungu kanijalia Mimi kumiliki mihela, unanionesha nyumba naridhika nayo. Badala ya kukupa 60 nakuongezea 5 (hizi nakuambia kuwa nimekuongeza kwa sababu mmejitahidi mno kutunza nyumba Mana inaonekana kuwa mpya na safi nje na ndani). Kwamaana hiyo siyo kukubaliana tu, Ila nimekuahidi nitakulipa mil 65, ili nyumba iwe yangu ukatatue matatizo na kukomboa hasara hiyo uliyoifikiria mbeleni itahitajika nikupe hela, unipe na hati ya nyumba nikabadili jina. Normally hati hukaa kwa wadeni na si kwa mdaiwa ( in this case, hati itakuwa iko bank), je Kuna biashara itakayoendelea Hapo? Au niendelee kutrust process?
 
Kila mtu aje na mali zake mkutane katikati ili kuepuka usumbufu.
 
Out of mada,wadau nimesahau password yangu ya kadi ya nmb,utaratibu ukoje jinsi ya kupata password mpya.
 
If the sale of the home yields profit, the lender is not entitled to excess proceeds over the loan balance plus any fees, in short any money earned above the loan balance + fees goes to the borrower
...Asante! Nimeelewa...!
 
Ilitokea kanda ya kati hii. Similar case
 
Mpaka kubaki deni la milioni 5, mama alitakiwa apambane alimalize deni hilo, kwa sababu ndio mnufaika wa hiyo nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…