T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Na pia kiasili bonds za serikali ni uwekezaji salama zaidi wa kifedha. Ni kama risk free. Wengi wanawekeza huko, tungeona mabenki na taasisi nyingi zikianguka. Sidhani kama benki inaweza pata shida sababu ya kununua bonds.Na Silvergate nao walinunua Bondi za serikali kwa Fedha za watu?
Kweli. Great depression ya 1929 na 1930's mwanzoni ilisababisha hadi bei ya kahawa duniani kuporomoka. Miaka hiyo ya 1930's wakulima wa kahawa Kilimanjaro waliriot na kuzua vurugu kubwa wakidai chama cha ushirika kinawaathiri. Kumbe shida imeanzia huko mbali USA.Uchumi wa Marekani ukitetereka na uchumi wa dunia unazubaa vilevile. Great economic depression ilitokea miaka ya 1920, mdororo wa uchumi 2008 ulianzia kule. Ingetokea COVID-19 ikaanzia Marekani uchumi wa dunia ungeyumba zaidi.
Hiv ndio tok jaana nimekua nachek.hii imekaaje kitaalam hiz benk kufilisika?benk zetu zina mkakat upi? Naskia wat wana rush kuwa na reserves ya yuan.wataalam wa uchumi vipHawapendi hizi habari wanapita kimyakimya, time will tell
Shikamoo Putin na wenzako mlio form BRICS - the beginning of the end ya mfumo wa wenzetu kifedha/ kiuchumi ndio unaanza kujongea taratibu kwenye meat grinder ya kigeuziwa kibao - hawata amini macho yao.Anguko la dola
Tupe huo utaalamu unao ujua wewe Mkuu.
Ule mdororo wa kiuchumi mwaka 2008 ulianzia kwenye mabenki....Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.
Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Acha kuwajaza watu hofu, watoe halafu waziweke wapi ?Hii inakwambia na wewe kama una pesa zako benki zitowe.
Ukiona mwenzako ananyokewa, tia maji zako.
Wewe na mwenzako Mathanzua mlitakiwa muwe kwenye kituo cha matatizo ya akili. Vitu mnavyoviweka hapa jukwaani ni kama mko kwenye reality yenu peke yenu.Shikamoo Putin na wenzako mlio form BRICS - the beginning of the end ya mfumo wa wenzetu kifedha/ kiuchumi ndio unaanza kujongea taratibu kwenye meat grinder ya kigeuziwa kibao - hawata amini macho yao.
Wazungushe.Acha kuwajaza watu hofu, watoe halafu waziweke wapi ?
Safari ni hatua,,Umesema bank za marekani lakin umeishia kutaja bank moja nilitegemea hata utataja bank kama 5 hivi
Safi. Ndivyo inatakiwa kuwa na si kuibia waweka akiba.View attachment 2549757Investors ndio watakosa pesa
POTUS kamaliza kila kitu.View attachment 2549757Investors ndio watakosa pesa
Ingekuwa bongo sasaView attachment 2549757Investors ndio watakosa pesa
Bongo benki inafirisika mnakadiriwa kiasi cha kuchukua. Umeweka mamilioni unaambiwa chukua laki tatu ilimradi uonekane umelipwa. Au kama kina Mr. Kuku hela zilikuwepo zaidi ya bilioni moja ila serikali ikataifisha wakati waliozichanga wanajulikana. Bongo nyosoIngekuwa bongo sasa
Kweli kabisa, kwahyo inflation rate imekuwaje sasa hivi?Silicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silicon Valley Bank's customer withdrawal made history.Silicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]