Benki za Urusi zathibitisha kuishiwa na Yuan huku kampuni za China zikijitenga na taifa hilo

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo.

Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo.

Xi Jinping Vladimir Putin.jpg

Wakopeshaji wameitaka benki kuu ya Urusi kushughulikia uhaba wa ukwasi wa yuan katika taifa hilo, huku wadadisi wakisema kuwa upatikanaji wa sarafu ya China umekuwa shida. Reuters iliripoti.

Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo, Benki za Russia zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo.

Wakopeshaji wameitaka benki kuu ya Urusi kushughulikia uhaba wa ukwasi wa yuan katika taifa hilo, huku wadadisi wakisema kuwa upatikanaji wa sarafu ya China umekuwa shida. Reuters iliripoti.

Kiufupi tunaesabu muda tu, lakini Putin anajua 2026, atoboi kwa uchumi jeshi alionao. China ameigeuza Urusi kuwa nchi ya Jeshi la Dharula duniani ( Military Puppet), kwamba Urusi apigane vita kwa msaada wa China dhidi ya Magharibi, alafu China ajenge Uchumi wake. Wakati wa Putin na Urusi kuanguka upo karibu mark my words, atajiangusha mwenyewe kwa vita vita vya kijinga, siku si nyingi Urusi atamsaidia Iran dhidi ya Israel (atalipa fadhila ya drones alizopewa dhidi ya Ukrein) apo ndo mwisho wa Urusi.
 
Mkuu kwako ni Vita vya kijinga ila sio kwao .na hao Vita hawajaanza leo mpk useme itawafilisi na ni ngumu kwa nchi ambayo ishaendelea kushuka kirahis kma unavozan
Kiufupi tunaesabu muda tu, lakini Putin anajua 2026, atoboi kwa uchumi jeshi alionao. China ameigeuza Urusi kuwa nchi ya Jeshi la Dharula duniani ( Military Puppet), kwamba Urusi apigane vita kwa msaada wa China dhidi ya Magharibi, alafu China ajenge Uchumi wake. Wakati wa Putin na Urusi kuanguka upo karibu mark my words, atajiangusha mwenyewe kwa vita vita vya kijinga, siku si nyingi Urusi atamsaidia Iran dhidi ya Israel (atalipa fadhila ya drones alizopewa dhidi ya Ukrein) apo ndo mwisho wa Urusi
 
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo.

Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo.

Wakopeshaji wameitaka benki kuu ya Urusi kushughulikia uhaba wa ukwasi wa yuan katika taifa hilo, huku wadadisi wakisema kuwa upatikanaji wa sarafu ya China umekuwa shida. Reuters iliripoti.

Spinn doctors
 
Kiufupi tunaesabu muda tu, lakini Putin anajua 2026, atoboi kwa uchumi jeshi alionao. China ameigeuza Urusi kuwa nchi ya Jeshi la Dharula duniani ( Military Puppet), kwamba Urusi apigane vita kwa msaada wa China dhidi ya Magharibi, alafu China ajenge Uchumi wake. Wakati wa Putin na Urusi kuanguka upo karibu mark my words, atajiangusha mwenyewe kwa vita vita vya kijinga, siku si nyingi Urusi atamsaidia Iran dhidi ya Israel (atalipa fadhila ya drones alizopewa dhidi ya Ukrein) apo ndo mwisho wa Urusi.
Pumba tupu
 
Ilipoishia Wagner Group ndipo linapoenda kuanzia Jeshi la Russia. Linaenda kugeuzwa Mercenary army.
 
Mkuu kwako ni Vita vya kijinga ila sio kwao .na hao Vita hawajaanza leo mpk useme itawafilisi na ni ngumu kwa nchi ambayo ishaendelea kushuka kirahis kma unavozan
hujui lolote kuwa mfuatiliaji , huko nyuma vilikuwa vijivita , kwa zama zote vita ya Ukraine na Urusi ndo vita imetumia technologies nying sanaa , sio km vita ya Gaza vs Israel ambapo uwanja umeegemea Gaza

Waliotoka front wanaelewa
 
Ungelijuwa watawala walishawahi sema "bila ya Russia hukuna dunia" sijui unaelewaje hapo.
 
Watawala gani wajinga hivyo au ni wewe ndio moja wa wanaojiita watawala. Bogus kabisa.
 
Back
Top Bottom