Labda faru johnNilikataa katakata mwanangu kumuita John! Sijawahi kuona John mwenye reasoning capacity nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda faru johnNilikataa katakata mwanangu kumuita John! Sijawahi kuona John mwenye reasoning capacity nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahLabda faru john
Una Porvery mindset ruzuku ni vjisent tu.Ulishawahi kuiona report ya matumizi ya ruzuku inazopokea Chadema?
Ulishawah kuisikia report ya CAG kuhusu Chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisoma naye Tosa ( five na six)..View attachment 1298517
View attachment 1298518
Huyu ni kiongozi wa Chadema anayetokea Mkoani Dodoma , inasemekana kitaaluma ni Mwalimu , sijui alifundisha wapi na alifundisha nini , lakini amehudumu Makao Makuu ya Chama katika Ukurugenzi kwa kipindi kirefu , ni kiongozi Shupavu asiye muoga na wala hajawahi kumung'unya maneno , hapa ndipo nilipoishia kumfahamu
Sasa naomba anayemjua zaidi atueleze ili na sisi tupate faida
Naomba kuwasilisha
Huyo classmate wa majaliwa 1994 - 1998 UDSMKigaila nimesoma naye UDSM miaka ya 1998. Ni kati ya Wanafunzi waliokuwa very aggressive kwenye Revolution square wakati wa Kunji pamoja na akina Kitila mkumbo, Kibamba etc
Asante mkuuNilisoma naye Tosa ( five na six)..
Tulikuwa mchepuo wa sayansi (PCM)
Tulimaliza sote F6, May 1990....
Pale Tosa alijulikana kama President.
By the time tulitoka wote Wilaya 1...
Ni jamaa Yangu wa karibu sana...
Hopefully yatosha Kwa Leo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
usipokuwa mwaminifu kwenye kidogo utakuwa mwaminifu kweny vikubwa?Una Porvery mindset ruzuku ni vjisent tu.
Kwani wewe mwenzetu wamewahi kufa mara ngapi mpaka ukazoea kabisa
mara kumi!Kwani wewe mwenzetu wamewahi kufa mara ngapi mpaka ukazoea kabisa
FoE tulipambanaIn short ni Mpambanaji. Nakumbuka miaka hiyo Dr. Bashiru alipambana na Maimu wa Falcuty of Engineering kwenye uongozi wa Daruso alipigwa chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo usalama wa taifa kz zao kuldeta kunji na kuwa very aggressive Tz hata kuleta mitafaruku. F. Karume pia usalama wa Taifa?
Tena tupo wengi, kutishia kishamba mkomee nyie manyang'au
Mkuu mbona unakuwa mnafiki sana,kweli wanafiki kama nyie ndio mnataka mpewe nchi,eti unatuuliza sisi huyu katibu mkuu wenu kama tunamjua,wakati wewe ndie baragumu la SACCOS yenu hapa JF. Kama unataka kumpaisha wewe mpaishe tu,badala ya kutumalizia bando zetu kwa kutuuliza majibu ya maswali ambayo wewe mwenyewe unayo.View attachment 1298517