Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Hakuna la ajabu. Wakati huohuo pia alikuwa kiongozi wa UVCCM mkoa wa Dar.
wengine hawa hapa
Watu wanatokea mbali sana!.jpg
 
Thubutuu, ujasiri usiishie kutukana tu serikali kwa kivuli cha huruma ya wananchi, kama ni jasiri amwambie Mbowe kinaganaga kwamba uenyekiti sio ufalme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2005_2010 alikua mkuu wa idara ya ujasusi chadema,moja wapo ya majukumu yake ilikua ni kutoa mafunzo ya ugaidi msituni bagamoyo,kuongoza kikosi cha wavaa makoti ya mtumba cha red brigade na kuongoza genge la utekaji na kutesa wanoonekana kuipinga chadema
Khalidi kangezi anamjua vizuri
Benson Kigaila ni mtu katili na mwenye roho mbaya mpaka viongozi wenzie wanamuogopa,tutegemee viongozi wengi wa chadema kupotea au kupigwa na vitu visivyo na ncha,hakopeshi huyu
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia viongozi wa Chadema wote wametokea Kaskazini . Kuanzia mwenyekiti mpaka katibu. Hichi chama ni cha kindezi sana. Tunahitaji chama cha watanzania wote na mtu yoyote awe free kugombea uenyekiti . Tumechoka kumsikia Mbowe Kila wakati. Zitto alipojaribu kugombea mlimtimua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh.Magufuli Mwkt.CCM Geita
Mh.Pole Pole - Itikadi CCM Mtwara
Mh.Bashiru -Katibu CCM -Mbeya
Mh.Mabeyo-CDF /CCM-Arusha
Mh.Mtungi - CCM-Msajiri-Kigoma
Mh.Kalangi-CCM-AG -Dodoma
Huu ndiyo uzalendo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom