Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Huyo ni mwana wota,anatokea jimbo la kibakwe kwa simbachawene,amehudumu kwenye kurugenzi ya oparesheni na mafunzo kwa muda mrefu cdm.
Jasiri haswa,asiyeyumbishwa,mbishi haswa.

Kuna wakati mnapoandika kuhusu ujasiri wa mtu , mnaandika mkifikiria zaidi against Serikali kuliko chamani ambako ndiko misimamano na sera huandikwa na kuonyeshwa. amefanya nini kuonyesha ujasiri katika mambo muhimu ya chama against matumizi mabaya na ukiukwaji wa taratibu za chama. Je anaweza kumwambia Mbowe. Hii hapana, na hii ndiyo kwa maslahi mapana ya Chama.
 
Naona unavyopambana sana kutaka ujibiwe, wewe ni nyau mdogo sana usitafute umaarufu kupitia mimi, beware!
Joined 19 oct 2019 ndio uwe ngazi ya kupatia umaarufu ! hakika umasikini wa akili ni hatari sana !

Mkuu Moderator naomba unisaidie kuniwekea huyu masikini kwenye Ignore list , nisije kupata Ban bure .
 
Satellite zilizo kwa mabeberu, waone kila kitu, na jinsi wanavyotafuta sababu ya kuingilia wakae kimya tu?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna nini cha kuwafanya watake kuingia hapa? Wewe utakuwa darasa la saba. Marekani anaingia penye interest zake. Hana majeshi yake hapa, hakuna mafuta, hakuna madini anayoyahitaji etc! aje kufanya nini?
 
2005_2010 alikua mkuu wa idara ya ujasusi chadema,moja wapo ya majukumu yake ilikua ni kutoa mafunzo ya ugaidi msituni bagamoyo,kuongoza kikosi cha wavaa makoti ya mtumba cha red brigade na kuongoza genge la utekaji na kutesa wanoonekana kuipinga chadema
Khalidi kangezi anamjua vizuri
Benson Kigaila ni mtu katili na mwenye roho mbaya mpaka viongozi wenzie wanamuogopa,tutegemee viongozi wengi wa chadema kupotea au kupigwa na vitu visivyo na ncha,hakopeshi huyu
Huu upuuzi unatoka kichwani kwako kweli bro? Jinsi navyokujua sikutegemea uje JF uandike pumba hizi

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Nasikia viongozi wa Chadema wote wametokea Kaskazini . Kuanzia mwenyekiti mpaka katibu. Hichi chama ni cha kindezi sana. Tunahitaji chama cha watanzania wote na mtu yoyote awe free kugombea uenyekiti . Tumechoka kumsikia Mbowe Kila wakati. Zitto alipojaribu kugombea mlimtimua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unakurupuka kuongea
Mwalmu Salum n MZanzibar
Mbowe ni Moshi
Kigaila- Dodoma
MNYIKA-dar

Twende kwenye Taifa letu
Rais ..kanda ya ziwa
Jaji Mkuu-kanda ya ziwa
Mkuu wa majeshi- kanda ya ziwa
Mkuu wa jeshi la polisi-kanda ya ziwa
Mkurugenz wa mhimbili -kanda ya ziwa
Mkurugenz wa Tbc-kanda ya ziwa
DCI-kanda ya ziwa
DPP-kanda ya ziwa
CAG-kanda ya ziwa
Hapo mbona hatujasema Taifa linatawaliwa kikanda...
 
Usiwe unakurupuka kuongea
Mwalmu Salum n MZanzibar
Mbowe ni Moshi
Kigaila- Dodoma
MNYIKA-dar

Twende kwenye Taifa letu
Rais ..kanda ya ziwa
Jaji Mkuu-kanda ya ziwa
Mkuu wa majeshi- kanda ya ziwa
Mkuu wa jeshi la polisi-kanda ya ziwa
Mkurugenz wa mhimbili -kanda ya ziwa
Mkurugenz wa Tbc-kanda ya ziwa
DCI-kanda ya ziwa
DPP-kanda ya ziwa
CAG-kanda ya ziwa
Hapo mbona hatujasema Taifa linatawaliwa kikanda...
Aiseeee !!
 
Back
Top Bottom