Jiwe alimuua kwa mkono wake kama Idd Amin alivyo m shoot Askofu Mkuu wa Anglican Janan Luwum wa UgandaHuyo saa 8 Kubenea alishasema anajua alipo........Ulizaneni hukohuko Ufipa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe alimuua kwa mkono wake kama Idd Amin alivyo m shoot Askofu Mkuu wa Anglican Janan Luwum wa UgandaHuyo saa 8 Kubenea alishasema anajua alipo........Ulizaneni hukohuko Ufipa!
Yes anaweza sana unadhani kuna kisichojulikana. Satelite za USA zilirekod kila kitu. Tunasubiri the right timeUnauliza maswali gani ya kipuuzi wewe, tukikuambia u justfy sentensi yako utaweza wewe, ? kuwa makini
endelea kutikisa kiberiti utakuwa shuhuda wa matendo makuu
Ha haha, nimejikuta nacheka. Ndio wale waliokuwapo toka SAA moja asubuhi kuwahi nafasi?Avatar yako inawasilisha watanzania wazalendo waliopokea ndege
jazaneni ujinga
Naam,tulimuamini Sana ...kumbe lool,SI ridhiki!Yaah huyu huyu Prof. Alikuwa kiongozi wa Daruso UDSM nadhani 1999 au 2000. I stand to be corrected.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi mkorofi mnaita "aggressive"Kigaila nimesoma naye UDSM miaka ya 1998. Ni kati ya Wanafunzi waliokuwa very aggressive kwenye Revolution square wakati wa Kunji pamoja na akina Kitila mkumbo, Kibamba etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuogopa TISS anayeitumikia nchi? Muogope TISS anayeitumikia CCM.
Bora Kitila kuliko Mbowe aliyeyapa mafisadi yagombee urais 2015Mkumbo huyu huyu alieunga juhudi?
Yule jamaa ni zero plus zero aisee!
Kigaila ni chapakazi hatare ila Katibu wake yuko baridi sana... kitakachotokea ama atamfunika bosi wake au atategeshewa zengwe kama Zitto
We jamaa ni muongo balaa !!Kigaila ni chapakazi hatare ila Katibu wake yuko baridi sana... kitakachotokea ama atamfunika bosi wake au atategeshewa zengwe kama Zitto
endelea kutikisa kiberiti utakuwa shuhuda wa matendo makuu
Tumeanza kuzoea kufa
Ahsante
Lijinga sana wewe, Ufipa ndo serikali ya Tanzania yenye jukumu la kulinda uhai wa watu wake?Huyo saa 8 Kubenea alishasema anajua alipo........Ulizaneni hukohuko Ufipa!
We jamaa ni muongo balaa !!