Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Kashenz sana kale karundi kale
Huyu jamaa atakuwa jasiri sana kwa mwonekano wa hizo picha. Kwa mamlaka waliyonayo polisi kama walishindwa kumwamrisha atende wanavyotaka, au badala ya askari mmoja kumshikisha adabu atekeleze amri yao, aliwashinda ikabidi askari zaidi ya sita, wenyebunduki, helmet, radio call za kuomba kuongezewa askari, virungu nk ndio wamshughulikie! Basi yeye jasiri haswaa na watu wa namna hiyo ndio wanafaa chadema. Sio kama kale ka diwani uchwara ka kakonko huko kigoma,kalikosaliti chama kwa hongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1298517
View attachment 1298518

Huyu ni kiongozi wa Chadema anayetokea Mkoani Dodoma , inasemekana kitaaluma ni Mwalimu , sijui alifundisha wapi na alifundisha nini , lakini amehudumu Makao Makuu ya Chama katika Ukurugenzi kwa kipindi kirefu , ni kiongozi Shupavu asiye muoga na wala hajawahi kumung'unya maneno , hapa ndipo nilipoishia kumfahamu

Sasa naomba anayemjua zaidi atueleze ili na sisi tupate faida

Naomba kuwasilisha
Kumumunya maneno ndiyo kuongeaje huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akifanya prediction usizozikubali anakuaje Muongo?

Hata leo nikisema miaka ya baadae utakuja kuliwa ndogo huwezi kuniita muongo kwa kuwa the future is uncertain, umeelewa Bwnana Mdogo ?
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya Masikini kupambana na Tajiri bila mafanikio .
 
Sasa naomba anayemjua zaidi atueleze ili na sisi tupate faida
2005_2010 alikua mkuu wa idara ya ujasusi chadema,moja wapo ya majukumu yake ilikua ni kutoa mafunzo ya ugaidi msituni bagamoyo,kuongoza kikosi cha wavaa makoti ya mtumba cha red brigade na kuongoza genge la utekaji na kutesa wanoonekana kuipinga chadema
Khalidi kangezi anamjua vizuri
Benson Kigaila ni mtu katili na mwenye roho mbaya mpaka viongozi wenzie wanamuogopa,tutegemee viongozi wengi wa chadema kupotea au kupigwa na vitu visivyo na ncha,hakopeshi huyu
 
Pamoja na yote hayo, ila hamshindi jiwe.

Tunakushukuru kwa hadithi yako nzuri .
 
Back
Top Bottom