Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wanatamani sana Mbowe akae pembeni hatujajua kwa sababu gani hasa.
 
Hana mvuto wakisiasa ,na kwann alipewa unaibu katibu mkuu

Mgogo huyu anatakiwa kuwa manjinjioni kukamua mavi utumbo wa ng'ombe
 
CCM wanatamani sana Mbowe akae pembeni hatujajua kwa sababu gani hasa.
Acha kujiingiza kwenye mtego wa Mbowe mkuu, hiyo ni janja janja tu ili aendelee kusalia kwenye nafasi ya Mwenyekiti MILELE. Unadhani Mbowe asipokuwepo CDM itakufa?
 
Ni ile ambaye mlikusanya Askari polisi Toka mikoa mbalimbali ya Tanzania,kuzuia mandamano yao.

Kwahiyo umepata jibu kama ipo au la.

Kama haipo wale Askari na makamanda waliowatuma watakuwa walikuwa VICHAA, kuzuia mandamano ya kitu ambacho hakipo.

Hongera sana mkuu KWA KUCHAGUA UJINGA!!!

🤔🤔
Walitumia zaidi ya 20bil kuzuia maandamano ya cdm ambayo haipo
 
Nionavyo mimi chadema ni brand kubwa inayoharibiwa na watu wachache yaani viongizi walipo juu na baadhi ya vijana wao wasio na adabu, heshima na maadili. Wasio na uwezo wa kujenga hoja badala yake huishia kutukana tu pale wanaposhauriwa au mtu akitofautiana mtizamo na wao, na vijana hao wengi wanaochafua image ya chadema wamejaa kwenye mitandao ya kijamii hasa jf, uraiani huwezi kuwaona. Chama kinachoonekana kuwa ni chama kikuu cha upinzani kilipaswa kiwe na watu smart kwenye kila idara, kisiwe na chuki ya wazi wazi na vyombo vya dola, kutokudandia dandie matukio kama wanaharakati, kutokuzungumza na kuitisha press conference mara kwa mara ambazo zinaadress mambo yao binafsi badala ya mambo ya kitaifa na yanagusa wananchi.
 
Hao wachumia tumbo kina kigaila ndiyo wameharibu chadema. Lisu ndiye mtu pekee mwadilifu chadema
 
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.

Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini au anatumiwa na CCM kufanya hivyo kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.

Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.

Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
kwani Lema alikuwepo?🐒
 
An insult in broken english is so disgusting... 🤮
Wewe Bwege kiswahili chenyenyewe unakiweza?? una umilisi wa kiswahili?? Mpaka umkosoe mwenzako kwenye kimombo ambacho waingereza wenyewe walio wengi bado bado hawako vizuri kwenye standard English.
Wewe kapuku ni nani??🤔🤔🤔
 
Acha kulialia. Hakuna babako hapa JF
 
Acha kulialia. Hakuna babako hapa JF
Nani kalia?? Unajua maana bya kulia?? Soma nilichoandika nimekujibu wewe Mpumbavu kubwa la majinga Popoma! Kuwa English ni shida kwa wazungu, na kiswahili bni vivyo hivyo, sio wote wanafikia UMILISI WA LUGHA!!!

sawa wewe POPOMA
 
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.

Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini au anatumiwa na CCM kufanya hivyo kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.

Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.

Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
Moto unawaka
 
Back
Top Bottom