Wachawi mnafuraha tele haya bwana!
 
Una Proof? Na wewe kwa maneno yako "Safi Sana" huoni Kama umechekelea kifo Cha Membe ilihali na wewe Ni Expected Dead? Serious ungekaa kimya ingetosha au ungesema si vyema kufurahia msiba wa mtu! Ila hapa umeshindwa kujitofautisha hata kidogo
Huwa nashindwa kuelewa mtu anayeshangilia kifo Cha mtu.

Watu wanahisi kifo ni adhabu. Wakati kila mtu atakufa iwe leo au kesho
 
Sidhani kama familia ya Membe itaendelea na haya madai kwani Hadi viongozi wa dini waliwahi kumsihi MeMembe amsamehe Musiba kwa hiyo binafsi naamini familia unaweza ikasamehe
Ni mtazamo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…