Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
najaribu kutafakari zaburi anazosimamia mtu huyu hazitoshi kuweka hapaR.I.P classmate View attachment 2618763
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najaribu kutafakari zaburi anazosimamia mtu huyu hazitoshi kuweka hapaR.I.P classmate View attachment 2618763
Wachawi mnafuraha tele haya bwana!Leo ni siku ya furaha sana team JPM tunagonga grass tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makambq nextRIP Membe.
Msiba kwa membe, harusi kwa Musiba
Hukumu iko pale oale, haitenguliwi na mdai kufariki.Nani atanunua tena mali ya Musiba? Huo mnada ushakuwa kimavi!
Huwa nashindwa kuelewa mtu anayeshangilia kifo Cha mtu.Una Proof? Na wewe kwa maneno yako "Safi Sana" huoni Kama umechekelea kifo Cha Membe ilihali na wewe Ni Expected Dead? Serious ungekaa kimya ingetosha au ungesema si vyema kufurahia msiba wa mtu! Ila hapa umeshindwa kujitofautisha hata kidogo
Hata mimi nahisi uchawi unahusikaMusiba kampata mganga gani wa kumpiga Jasusi kitu kizito?
Takataka ya msoga
Tuna msiba tafadhaliSoC03 - Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu naomba kura yako mkuu katika andiko langu
Aende aka kachero huko kuzimu sasaWapi musiba
RIP jasusi mbobezi.
TawileWataalam wa kolomijei
Acheni hayo mambo jamani, tuishi Kwa kusameheanaDuh..
Team Magu bado ipo kwa system wazee.. Tekini Care..
Hivi hii nchi watu hawatakiwi kufariki bila kuuwawa?Duh..
Team Magu bado ipo kwa system wazee.. Tekini Care..
Sisi team Musiba Mungu ametuamlia ugomviApumzike kwa amani,kabla haijalipwa na musiba Mungu amemchukua
Amekufa bila kumsahemu Musiba huyu pita kuleeee
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama familia ya Membe itaendelea na haya madai kwani Hadi viongozi wa dini waliwahi kumsihi MeMembe amsamehe Musiba kwa hiyo binafsi naamini familia unaweza ikasameheHapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!