Walijua Mungu anawasikiliza wao tuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Membe shujaa?? Hii nchi kuna utani sanaHuyu ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii, aliyeweza kuongea ukweli juu ya uvunjifu wa haki za waTanzania uliofanywa na Serikali ya magufuli, huna ubaya mtu mwenye msimamo, tunakuombea
Kwaivo mahakama ilitoa uamuzi wa kihuni? Sema Nye uone tutakavyo kufanya.Deni lipi? Mnahubiri Demokrasia halafu nyie hao hao hamtaki ifanye kazi upande wenu. Msiba hadaiwi na mtu ni uhuni walitaka kumfanyia.
Musiba ni mtu hatari!
Musiba hahusiki na kifo cha huyu bali ni Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake dhidi ya mtu jeuri anaekaidi hadi viongozi wa dini.As I said it's a war!
Kweni Sheria za Nchi zinasemaje? kwamba ukifa uzulumiwe?Una makamasi kichwani
Kuna mzee mmoja anajifanya yeye ni mjanja wa hilo, anadai wazuri hawafi na anaendelea kulamba asali na wazee wenzake.Hakuna mjanja kwenye hilo. Sote tutaonja mauti
Siyo kuisaidia tu polisi hata kubeba jeneza la mzoga tutasaidia usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi wataisadia police?
Unafurahia kufa kwa mwenzio?Ila Leo yawezekana ndio ikawa siku ya furaha sana kwangu japo najizuia kufurahi.
Familia inazihitaji hizo Bilioni tisa.Haraka Sana bila kupoteza muda hio Billion 9 ilipwe bila longo longo zozote maana hawachelewi kupindua Meza,
View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Mungu wetu fundi sana tu!mungu wenu ni dhaifu, amechelewa, alitakiwa ugomvi huu auamuwe kabla ya hukumu, lakini is too late mungu wenu dhaifu hawezi kubadili chochote, minada inaendelea na pesa lazima zilipwe.