Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.Hawakumshtaki kipindi kile kwa kuwa Musiba alikuwa anatumiwa na Magufuli kutukana watu, so alikuwa anamkingia kifua. Hakuna hakimu wala jaji angeweza kuwagusa team Magufuli na Sukuma Gang.
Lakini kama mahakama imemuonea mbona mwenyewe hajakata rufaa badala yake alikuwa anatuma watu kumuombea msamaha kwa Membe? Why?
Mikwara tu 😆😆😆Aiseh!
Huyu musiba ni mtu mzito!!
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣Video hii imeonekana ikimuonesha Cyprian Musiba akiwakemea vikali Berbard Membe, Zitto Kabwe na January Makamba na kuapa kuwachukulia maamuzi magumu!
View attachment 2618838
Kufwaaa kwabwiswaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amekufwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578]
SKG in action! Cyprian Musiba huponi bado! Wale SKG walio kwenye system wamefanya yao kukuponya lakini rest assured the war is now at your door!View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Kwani membe kufa ndio hukumu ya mahakama imekufa??hukumu iko pale pale tuMusiba atakuwa na smiling face siku ya leo.
Lakini Shangazi bado yupo na anadai zile 2B+
Atanyolewa tu in any way.
Wadanganye , watakufa huku wanaharishaNaomba familia iendelee kukomaa; Musiba hana adabu. Au kama vipi Zitto Kabwe na January Makamba waendeleze gurudumu ili huyu mbwa afilisiwekabisa.
Mimi nasema hao madaktari waumalizie na rungu la kichwa huo mzoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mimi ni Team JPM, lakini sipo kabisa kwenye huu ujinga wa kufurahia na kushangilia kifo cha mtu mwingine, hata angekuwa adui. I'm sorry for you!
Membe hana makuu? Huyu ndio aliwatangazia maadui zake 11 kuwa akiwa raisi watakimbilia kenyaTumempoteza Mwanasiasa aliyekuwa hana makuu, nitaimisi ile sauti yake.
ni kweli sasa utasikia wana ooh mwana kamroga mwenzakeHapo hakuna mba mba mba ni zamu yake imefika tu,
Hayo mengine ni hisia za walimwengu tu
Inawezekana unachisema ni kweli mkuu. Naamini hili baada ya kuona kilichomtokea yule mtu aliyetaka kumuua Tundu Lissu. Aliyepanga mauaji katangulia mbele za haki lakini Tundu Lissu bado anaendelea kula ugali duniani. Mungu ni fundi sana.Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamliwa na MunguView attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Unauliza swali la kijinga sana,Hata kwa Mungu hukumu inatolewa na Mungu?
Au una mawenge baada ya kachero wako kujifia?
Ulimuonya membeI remember to comment [emoji850]