TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Hawakumshtaki kipindi kile kwa kuwa Musiba alikuwa anatumiwa na Magufuli kutukana watu, so alikuwa anamkingia kifua. Hakuna hakimu wala jaji angeweza kuwagusa team Magufuli na Sukuma Gang.

Lakini kama mahakama imemuonea mbona mwenyewe hajakata rufaa badala yake alikuwa anatuma watu kumuombea msamaha kwa Membe? Why?
Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.
 
Mungu kaingilia kati,asemavyo Nape.

Mnada uko palepale ila ningekuwa ndiye Musiba ningechimba mkwara kwa atakayenunua chochote kwenye huo mnada,asinitafute baadae!

Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
 
View attachment 2618772

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
SKG in action! Cyprian Musiba huponi bado! Wale SKG walio kwenye system wamefanya yao kukuponya lakini rest assured the war is now at your door!
South South South kule ngende mpoooooooo!
 
Mimi ni Team JPM, lakini sipo kabisa kwenye huu ujinga wa kufurahia na kushangilia kifo cha mtu mwingine, hata angekuwa adui. I'm sorry for you!
Mimi nasema hao madaktari waumalizie na rungu la kichwa huo mzoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.
Inawezekana unachisema ni kweli mkuu. Naamini hili baada ya kuona kilichomtokea yule mtu aliyetaka kumuua Tundu Lissu. Aliyepanga mauaji katangulia mbele za haki lakini Tundu Lissu bado anaendelea kula ugali duniani. Mungu ni fundi sana.
 
View attachment 2618772

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamliwa na Mungu
 
Back
Top Bottom