Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kazi ya Msimamizi wa mirathi ni kukusanya madeni ya marehemu na kulipa madeni anayodaiwa na kugawa Mali za marehemu kwa haki.Ungekua wewe ni mtoto wa membe ungemdai MUSIBA?
Mkwala wewe huwa huujui? Siasa hizo.Membe hana makuu? Huyu ndio aliwatangazia maadui zake 11 kuwa akiwa raisi watakimbilia kenya
So what,kwanza aliyoyasema Musiba ni ya kweli kabisa,wakiendeleza nao wataondoka kabla ya siku zao.
Kufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!Yeye mwenyewe alishangilia mwache viboko ya Mungu vimushughulikie!
Shkamoo DOKTA MATOLA MAVI.Kazi ya Msimamizi wa mirathi ni kukusanya madeni ya marehemu na kulipa madeni anayodaiwa na kugawa Mali za marehemu kwa haki.
Ningekuwa ni mtoto wa Membe hizi ndio pesa sahihi za kula pisi Kali za mjini.
Kufa ni kufa tu! Acha makelele ya kipumbavu!Kufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!
Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Usikute ni maandalizi ya 2025?Kwa nn hizi habari zinafatana, Bashite kufutiwa kesi na Musiba.
Bush lawyer, Membe alishamaliza kesi mwenyewe kilichobaki ni mirathi ya wanufaika, endeleeni kudanganyana tu.You canβt defame a deceased person, hiyo kesi ishaisha.
Hakuna mdai tena wa defamation.
Tumeumbiwa udongo na tutarudi kwa udongo.
R.I.P Membe
Usifurahie jambo ambalo utaki wewe likupate kiko wapi leo.
Mkuu DIVISHENI FOO hii ni dhihaka Sana kwangu. Hunifahamu tunaongea kwa key board Ila ninamuomba Mungu mno COVID ipige hod kwako na kizazi chako. Kama hujaoa au kuolewa basi ipige ndugu zako na wazazi wako ili uweze kuona taabiko lake ujifunze kuwa na heshima. Nikikumbuka August 6 - September 30, 2021 niliponea tundu la sindano halafu unakutana na bezo kama la kwako basi ninajisikia uchungu ila ni Furaha kwa Mumgu na shukrani kubwa maana neema yake niliona na niko hai. Asante Sana.Huna lolote wewe, muigizaji tu.
Mkuu tutarajie series ya anguko la mapapa kama huyo alieanguka!!?Mikwara tu πππ
Kufa ni kufa tu!!Kufa ni kufa tu! Acha makelele ya kipumbavu!
Huna lolote wewe, hata ungekufa ni sawa tu.Mkuu DIVISHENI FOO hii ni dhihaka Sana kwangu. Hunifahamu tunaongea kwa key board Ila ninamuomba Mungu mno COVID ipige hod kwako na kizazi chako. Kama hujaoa au kuolewa basi ipige ndugu zako na wazazi wako ili uweze kuona taabiko lake ujifunze kuwa na heshima. Nikikumbuka August 6 - September 30, 2021 niliponea tundu la sindano halafu unakutana na bezo kama la kwako basi ninajisikia uchungu ila ni Furaha kwa Mumgu na shukrani kubwa maana neema yake niliona na niko hai. Asante Sana.
Wazuri kweliSana jamani [emoji24]
Rafiki yake yuko Korea mtoto wa Msoga family.
Shenzi ni nani hapo? Anayebambika madeni yasiyo halisi watu au alieonewa?Sio poa kabisa yaan kuna watu wa ajabu sana afu anafikiri watu hawatojua ukweli, shenzi kabisa