uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Sikuwahi kujuwa kama una akili ndogo kiasi hiki, unaelewa maana ya mirathi ni nini?
AminWafilipi 1:21-27
Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.
Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa.
Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Basi, nitakapokuwa nanyi tena mtakuwa na sababu ya kuona fahari juu yangu katika kuungana na Kristo Yesu.
Basi, jambo muhimu ni kwamba mwenendo wenu uambatane na matakwa ya Injili ya Kristo, ili kama nikiweza kuja kwenu au nisipoweza, nipate walau kusikia kwamba mnasimama imara mkiwa na lengo moja, na kwamba mnapigana vita kwa pamoja na mnayo nia moja kwa ajili ya imani ya Injili.
Wakati wa JPM mlishangilia Sasa hivi ndio mnataka tuwe pamoja[emoji23] gemu ndio limeanza Bado 3Pole yetu sote watanzania na hasa kwa familia. Pole sana Mh. Nape Nnauye kwa kuondokewa na Baba yako wa kisiasa na mlezi wako aliyekukabidhi jimbo la Mtama. Watanzania tuwe wamoja ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi. Apumzike kwa Amani Mh. Bernard Membe, hakika taifa limepoteza mwana deplomasia mahili.
Hakuna hii moment nilikuwa nikiisubiri sana sikuwa na mpango wa kunywa bia Leo ila lazimaTusameheane tu jamani. Kosa moja halihalishi kosa lingine.
Tusameheane tu jamani. Kosa moja halihalishi kosa lingine.
AmefiwaMkuu naona umeamua kuunganisha nukta. Kwani Nape nini kimempata? Hebu fafanua vizuri.
Ninashukuru Sana mkuu. Ni hizi za aina ya spices kama tangawizi, tunguu maji na swaumu, limao, mdalasini, mchaichai n.k Je navyo siyo sahihi kutumia ukiwa na dawa za hospital? Mfano Mimi nilipewa Azythromycine, dawa ya kikohozi na Aspirin Junior Ila nikawa na vitamin D, C na Zincovit. Ambazo vitamin natumia mpaka Leo. Aspirin Junior nilimeza kama wiki nikaacha. Je niendelee Asprin Junior mpaka zote ziishe?Mkuu mimi kama mtaalamu wa afya nakushauri usichanganye dawa za kienyeji na hospitali
Utapata shida moja kubwa sana ambayo hutojua ufanye nini
Nmekushauri unaweza kuchukua ushauri au kuupotezea
Msifanye hivyo wadau tunaumizana.Tutasameheane baadae ngoja kwanza tushangilie kwa kusawazisha goli.
Jamani tuhurumiane, haya mambo ya kufiwa yasikie kwa jiraniHakuna hii moment nilikuwa nikiisubiri sana sikuwa na mpango wa kunywa bia Leo ila lazima
Chukua tissue futa machozi then jipige kifuani sema Mungu kaamua ugomvi. Mbona hujataja Membe aliyoshindwa ila Magufuli kayaweza tofauti na hilo kombe lenu la miaka 70Sukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.
R.I.P
Cc: Makamba senior
NGUVU KALI ZA GIZA ZIMETUMIKA HAPA SI BURE, YONO ENDELEA NA KAZI YAKO FEDHA ZIKABIDHIWE KWA FAMILIA,
RIP JASUSI MBOBEVU.
Tena wewe Dada ndio huwa unatukana hatari leo unajifanya mwema.Sasa na nyie mnaiga wajinga kuendeleza ujinga ule ule hamna tofauti
Uzuri moto wenyewe Magufuli ndio kuni, halafu hawa Freemason wewe ndio unawaona ni maaskofu?
Pole sana.
NGUVU KALI ZA GIZA ZIMETUMIKA HAPA SI BURE, YONO ENDELEA NA KAZI YAKO FEDHA ZIKABIDHIWE KWA FAMILIA,
RIP JASUSI MBOBEVU.
Nani?Nakuomba Sana, tafadhali kama utapata nafasi jitokeze hadharani uombe msamaha kwa dhihaka Ile na kama utaona aibu kuongea hadharani basi andika tu kwenye Twitter yako kuomba msamaha.
Ifute ni kauli mbaya ambayo ipo kwenye mioyo ya waliofiwa na huwa wanaikumbuka na kukushitaki kwa MWENYEZI Mungu.
Ahsante
Na kama Nape alienda kumzuru mgonjwa bila tahadhari inabidi awe makini. Mimi nilipitia tu document ya mwenzangu alikuwa amepitiwa bilà kujijua. Hi kitu ni mbaya mno aisee. Na Sisi ambao umri umesonga ni Shida Sana maana umachoka mwilini. Yaani Electrolytes zinakuwa chini Sana hivyo nguvu inakuwa kidogo Sana.Amefiwa
Tusubiri tamko la mzee Yusufu Makamba kama atarudi usemi wake wa zamani.
Wapiii mzoga [emoji879][emoji879][emoji879][emoji879] wa maembe ....piga keleleeeeeeeeeere[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Jamani tuhurumiane, haya mambo ya kufiwa yasikie kwa jirani