TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Wafilipi 1:21-27

Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.

Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa.
Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Basi, nitakapokuwa nanyi tena mtakuwa na sababu ya kuona fahari juu yangu katika kuungana na Kristo Yesu.
Basi, jambo muhimu ni kwamba mwenendo wenu uambatane na matakwa ya Injili ya Kristo, ili kama nikiweza kuja kwenu au nisipoweza, nipate walau kusikia kwamba mnasimama imara mkiwa na lengo moja, na kwamba mnapigana vita kwa pamoja na mnayo nia moja kwa ajili ya imani ya Injili.
Amin
 
Pole yetu sote watanzania na hasa kwa familia. Pole sana Mh. Nape Nnauye kwa kuondokewa na Baba yako wa kisiasa na mlezi wako aliyekukabidhi jimbo la Mtama. Watanzania tuwe wamoja ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi. Apumzike kwa Amani Mh. Bernard Membe, hakika taifa limepoteza mwana deplomasia mahili.
Wakati wa JPM mlishangilia Sasa hivi ndio mnataka tuwe pamoja[emoji23] gemu ndio limeanza Bado 3
 
Mkuu mimi kama mtaalamu wa afya nakushauri usichanganye dawa za kienyeji na hospitali

Utapata shida moja kubwa sana ambayo hutojua ufanye nini

Nmekushauri unaweza kuchukua ushauri au kuupotezea
Ninashukuru Sana mkuu. Ni hizi za aina ya spices kama tangawizi, tunguu maji na swaumu, limao, mdalasini, mchaichai n.k Je navyo siyo sahihi kutumia ukiwa na dawa za hospital? Mfano Mimi nilipewa Azythromycine, dawa ya kikohozi na Aspirin Junior Ila nikawa na vitamin D, C na Zincovit. Ambazo vitamin natumia mpaka Leo. Aspirin Junior nilimeza kama wiki nikaacha. Je niendelee Asprin Junior mpaka zote ziishe?
 
Sukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.
Chukua tissue futa machozi then jipige kifuani sema Mungu kaamua ugomvi. Mbona hujataja Membe aliyoshindwa ila Magufuli kayaweza tofauti na hilo kombe lenu la miaka 70
 
Nakuomba Sana, tafadhali kama utapata nafasi jitokeze hadharani uombe msamaha kwa dhihaka Ile na kama utaona aibu kuongea hadharani basi andika tu kwenye Twitter yako kuomba msamaha.
Ifute ni kauli mbaya ambayo ipo kwenye mioyo ya waliofiwa na huwa wanaikumbuka na kukushitaki kwa MWENYEZI Mungu.
Ahsante
Nani?
 
Na kama Nape alienda kumzuru mgonjwa bila tahadhari inabidi awe makini. Mimi nilipitia tu document ya mwenzangu alikuwa amepitiwa bilà kujijua. Hi kitu ni mbaya mno aisee. Na Sisi ambao umri umesonga ni Shida Sana maana umachoka mwilini. Yaani Electrolytes zinakuwa chini Sana hivyo nguvu inakuwa kidogo Sana.
 
Jamani tuhurumiane, haya mambo ya kufiwa yasikie kwa jirani
Wapiii mzoga [emoji879][emoji879][emoji879][emoji879] wa maembe ....piga keleleeeeeeeeeere[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Back
Top Bottom