Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hapo hapana shida mkuuNinashukuru Sana mkuu. Ni hizi za aina ya spices kama tangawizi, tunguu maji na swaumu, limao, mdalasini, mchaichai n.k Je navyo siyo sahihi kutumia ukiwa na dawa za hospital? Mfano Mimi nilipewa Azythromycine, dawa ya kikohozi na Aspirin Junior Ila nikawa na vitamin D, C na Zincovit. Ambazo vitamin natumia mpaka Leo. Aspirin Junior nilimeza kama wiki nikaacha. Je niendelee Asprin Junior mpaka zote ziishe?
Unafurahia kufa kwa mwenzio?
Hata Bernard alikuwa rafiki wa Makamba unalijua hilo?Makamba na marafiki zake hawafi ni wema
Wazuri hawafi - Marope Snr
Changamoto za kupumua ! Maybe kale kamjamaa kameanza mikwara yake tena Nchini ??!Serikali haiamini uchawi
Hao wanafamilia hawawezi kuwa na nguvu ya kumdai Musiba kama muhusika mwenyewe angekuwa hai.Kwamba hatalipa? Hiyo haitakaa itokee kwenye madai yake alijumuisha familia Sasa kama unavyojua Kuna Sheria ya mirathi "kukusanya na kulipa madeni yote ya marehemu"
Unafikiri hao wengine watakuwa wana nguvu ya kumdai Musiba. Hivi hamjawi kuishi na watu wanatoa trela ya picha, kijiji kizima kinaanza kumuogopa!RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,
By the way, kwani deni si lipo palepale? na Je ni Hayati Pekee ndo aikuwa anamdai Musiba si wapo wengine, nia ni kutokumpa gap huyu Mwanakijiji Musiba!!
Kama wapo wenye ujasiri huo sawa. Hata kama Mungu kamchukua, lakini hao heirs watakuwa wanamuogopa Musiba kumfuata kichwa kichwa.Bado heirs wake wata enforce judgment ya mahakama
Defamation ni personal matter, hakuna mtu anaeweza mdai Musiba zaidi ya Membe ata kama mahakama imetoa hukumu; aliekusudiwa kulipwa hayupo tena.
Si usubiri uone badala ya kupiga kelele za chuki.
We unadhani Musiba akifungua kesi ya appeal na mdai hayupo kuna kesi tena hapo; wakati ni personal matter.
Hilo deni halipo tena technically
Watu wengi hawaamini ushirikina lakini kiukweli ushirikina upo na unafanya kazi.Musiba .....imepelekea Msiba!... Mambo ya kilingeni hapa lazima yamehusika....
Hamna Cha kunyolewa , Wewe umsamehe Gaidi Mbowe, alafu Sabaya, Makonda,Musiba, Vijana wanaolipigania Taifa, Uwaadhibu Kwa sababu tu ya Uzalendo wao????. .
Wataisha wanafamilia sasa. Ngoja tuoneHapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!
Akiondoka mwingine, wataendelea kukazia sana tu?TENA ndipo watakazia zaidi...KWA uchungu wa hisia kuwa kuna jambo nyuma ya hichi kifo
Dogo heshima kwako. Unavituko.Binti upo kwenye siku zako nini?
Yule mzee hakumaanisha maana hiyo..Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.
Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?
Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?
Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”
Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.
Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.
Asomaye na afahamu.
Toka lini uliona natukana au kufurahia kifo Cha mtu humu?Tena wewe Dada ndio huwa unatukana hatari leo unajifanya mwema.