Kwakweli hata wafe kina membe 50,kwangu kufa yule jamaa muuaji kutoka chatle hata sasa nina furaha saaaaanaaaaa.Membe hana effect yoyote.Kwo kumfananisha na ******** muuaji ni KUTAFUTA namna ya kujifariji tu
 
Dah! Huyu Musiba huyu!?
JAPO mimi ni timu MAGUFULI, ila natoa pole kwa wafiwa na marhum apumzike kwa amani.
Hakika tutakukumbuka mzee wa goli la dakika ya 89
 
Lowasa mjanja kama Putin ajichanganyi na watu hovyo hovyo. Ukiwa na appointment naye lazima uwe isolated for two weeks under close supavishen na kupimwa ndo utaonana.
 
Wapi nilishangilia? Nlimchukia JPM ila siku wanatangaza msiba niliumia sana. Ubinadamu ni zaidi ya siasa, ila haibadili ukweli kwamba impact ya msiba wa JPM haiwezi kuwa compensated na vifo vya raia wa kawaida!!
Acha kujifanya mwema leo yaani wewe ndio katibu wa kumdhihaki magufuli leo unajifanya mwema tutolee unafiki wako
 
Kama ulishindwa kung'amua maana ya huo msemo basi wewe ni kilaza kweli kweli, labda nikuulize swali ni mazingira gani yalisababisha Makamba akaropoka hiyo kauli?.
 
Acha kujifanya mwema leo yaani wewe ndio katibu wa kumdhihaki magufuli leo unajifanya mwema tutolee unafiki wako
Poleni sana Sukuma gang but msiba wa JPM hauna compensation. Mkijitia moyo kwa vifo vya wastaafu ni kujilisha upepo tu. Mmeleta siasa za chuki wenyewe acheni mvune mlichopanda. Mpaka mfike 2025 mtakua mmegawanyika Ili mtupishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…