Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wazee wa Lindi wana jambo lao, wana VAR yao.Mimi Mwili ukiwasili tu nitauagia hapa hapa Dar es Salaam na kwa wale Wazanaki mliopo Busegwe Wilayani Butiama na mlio njiani sasa kuelekea huko Musoma Mkoani Mara na Kaka Mkubwa aliyetangulia Kijijini mtaniwakilisha katika Maziko kwani nina Msiba mwingine wa Kuuhudhuria wa Mmwela Mkwere wa ghafla Jana.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume na Dr Matola PhD
Nani kapigwa kitu kizito, Mimi ni Anti-JPM ila sipo CCM Sasa hayo ya Membe yananiumaje Mimi? Unless ingekua Mbowe au Lissu ndio ningeumia.Sikuoni hapa Kijijini Londo Mkuu.Kwa sasa tutulie tuzike kwanza mpendwa wetu,huku kujibizana hapa hakutuondolei machungu ya kupigwa na kitu kizito kichwani na Mungu.
Pole sana Mkuu,wakati mwingine ukiwa na machungu sana ya kumpoteza umpendaye ni vizuri kuomboleza.Huku kujitia upo sawa wakati matendo yako yanaonyesha unapitia machungu makubwa siyo nzurj kwa afya yako.Nani kapigwa kitu kizito, Mimi ni Anti-JPM ila sipo CCM Sasa hayo ya Membe yananiumaje Mimi? Unless ingekua Mbowe au Lissu ndio ningeumia.
Na sasa ni waziri kwenye serikali ya saa 100 aliyekuwa bosi wake anatukanwa na yeye anampatia mtu cheoMungu ameamua ugomvi alijisemea Nape
NapeMusiba alisema atachukua maamuzi magumu; naona ameamua kuanza na Membe. Bado Zitto Kabwe na January Makamba.
Cc Nape ione kwenye mafaili lakeMungu kaamua ugomvi
ππππ Jamani natafuta Mubena nimchokoze nimepewa ruhusa na johnthebaptistJaribu kuwachokoza!
Ha ha ha,ila wajita mafundi sana.Musiba alisema atachukua maamuzi magumu; naona ameamua kuanza na Membe. Bado Zitto Kabwe na January Makamba.
Pole ya nini na wewe?Poleni sana, ndugu, jamaa na marafiki wa Membe.
R.I.P Membe
Sasa zitto machunusi membe si aligombea urais chama chenu cha Act wazalendo unasemaje msiba haukuhusu mbona unaanza kukana wenzakoNani kapigwa kitu kizito, Mimi ni Anti-JPM ila sipo CCM Sasa hayo ya Membe yananiumaje Mimi? Unless ingekua Mbowe au Lissu ndio ningeumia.
Haya ndio maneno ya kweli kweli tupu π π hapa duniani tunapita tu ! Ila ipo mijitu huwa inadhani hapa ndio imeshafika safari yao kumbe tupo transit tu !!SIRI YA KUKISHINDA KIFO NI KUJIANDAA KUKIPOKEA, maana hujui LINI, SIKU, wala SAA kitakuja, tuishi vizuri wanajamvi, hatuna haja ya kutukanana, kuzulumiana, kutesa wengine, kutenda uovu, wala kuchepuka(πππ) tangulia Mkuu Membe, uwe na sehemu njema huko ulipo.
Ukweli ni kwamba, mimi sikuwa karibu nae bali ndugu zangu WENGI (wa karibu) ndio walikuwa karibu nae, TENA SANA!Mkuu, unajua kabisa Mimi huwa nachukulia mabandiko yako kwa uzito mkubwa. Nakuamini kwa sababu nikama ulikuwa Karibu kiasi na familia ya Mzee Membe(RIP)- Mzee alisoma na Baba yako Mkubwa.
Bila shaka unazungumzia hapa chiniSema maadishi yako kwenye bandiko nilililonukuu hapa juu linanishutua kwa kumalizia sentensi zako na alama ya mshangao (!).
Kama ndivyo, nikiri kwamba NILIROPOKA! Unajua Mshua na Ben walikuwa VERY CLOSE to the point niliamini wamesoma DARASA MOJA!Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW.
Tulisoma na watu wanatuzidi 10yrs, zamani ilitegemea mtu anatoka familia gani. Kuna familia hazikujali elimu, watoto walienda shule wakiwa 12yrs+ wakati wengine walianza na 7yrs.
Ujinga ni mzigo mzito hapa duniani ! Ukiweza kuutua ujue Umebarikiwa Mkuu πππKufumba kufumbua unarudi mavumbini lakini watu hawakomi, vitisho, jeuri, dharau na majivuno yapo palepale.
[emoji23][emoji23] ChatGPT Jamii forumR.I.P
Mbona baba yako mzazi alifurahi sana?Majanbazi na mashoga yalifurahia kifo cha JPM